englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Mmmh! Itabidi tuanze kuuza hekima dukani sasa. Maana huwezi kuimagine kama mtu anayejiheshimu anaweza kuandika haya. Inawezekana nyie ndiyo mnayeua vikongwe huko Mara na Shinyanga.Hako ka bibi kana sura MBAYA sana, lazima katakua kachawi tu...