MAJOR GENERAL QASSEM SOLEIMAN: A Fully Trained Commando na mbabe katika medani ya vita eneo zima la Mashariki ya Kati na Afrika ya Waarabu

Kuna wanaume kibao nawajua wamekufa kwa kuoverdose viagra ila leo kuna wapuuzi wanakwambia mtu kufa kwa kombora lilifyatuliwa na jeshi linaloaminika kuwa namba moja duniani kwa ubora ni kufa kizembe! Kweli bongo wengi tuna ubabe wa nyuma ya keyboard
Wabongo kwa mipasho tena !!!!
 
umesema kwamba Iran ndo anaongoza kijeshi hapo mashariki ya kati na si Israel kwa sababu Israel anasaidiwa na ulaya na marekani ila umesahau kwamba Iran anasaidiwa na urusi na silaha zake zote ni za urusi. so punguza ushabiki na uongee reality

pili aliyefanya assad wa syria akabaki madarakani ni urusi na si hyo iran unayosema ndo inaongoza kijeshi. vita ya syria ilipoanza iran na hezbolah na huyo soleiman waliingia kwa nguvu zao zote ila hadi dakika 45 za mchezo walikua hoi taabani na walikua wameshapoteza nusu ya watu wao na wakarelize hapo hawatoboi watu wanaopigana nao wamejipanga zaidi yao hivo wanahitaji nguvu yenye akili ndani yake(maana wao walienda na manguvu akili wakaziacha) hapo ndo soleiman akaenda moscow kuomba msaada na hapo ndo kipindi cha pili tukaona mabadiliko ya mchezo. sasa hapo aliyeleta ushindi ni solemani au russia? na je hapo nguvu ya iran iko wapi???
Suleiman pia anahusika kwa kuleta ushindi huo maana kama aliweza kuwashawishi russia kidiplomasia mpaka wakakubali kuwapa kampani wewe kwako hilo ni jambo dogo " je hauoni kuwa aliitumia akili yake katika kuwaza vyema na hatimaye mawazo yake yakaleta manufaa " chochote kile ili kiweze kufanikiwa au kufeli. Kina tegemea nguvu ya mawazo yaliyopo ndani ya mtu " so wawezaje kuona kuwa qaseem hakuwa sehemu ya msaada huo " wakati umeshasema kwamba alikwenda moscow. Kuomba msaada " Mimi nilidhani kwamba utasema kuwa russia walikwenda wenyewe khaa !!!!!!

Baadhi ya member wa jf mna low thinking capacity mnooo " Yaani katika hiyo statement uliyoitoa kweli umeshindwa kuutambua mchango wa qaseem .. Huko shule mliendaga kufuata nini !!?
 
Vyeo vya kupeana ?? My foot .. MTU mpaka anakuwa most wanted na taifa kama marekani kutokana na athari alizonazo still wasema vyeo vya kupeana
Waweza kukuta wawe hapo ulipo hata mjumbe wa nyumba 10 hakujui ila nimtu gani anayejielewa asiye mjua general qaseem
Safi sana. Qaseem alikuwa ni shida
 
Back
Top Bottom