Meja Jenerali Abdallah Senussi: Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Jeshi Libya aliyetishia kuita Fighter Jet kulipua Gereza la Abu Salim lililojaa wapinzani

Nilichokielewa mimi yule jamaa alikuwa anapiga biti kutuliza dhahama pale gerezani. Lakini hiyo silaha haikuwepo
Leo ndo nimeelewa! Kumbe ilikua biti tu wahuni watulie? Sawa hili tulitakiwa kuambiwa mapema Sana ili kuepusha hoja mpya juu ya uwepo wa su 30 ndani ya libya
 
Sikatai. Lakini majibizano si tu kila Mara Ni ubishi usio maana lakini huleta kufunuliwa ubongo kwa wasiojua chochote.
So sioni haja ya chuki dhidi ya madongo kutoka kwa wasomaji.
Mkuu, kuna uwezekano mkubwa sana ya kuwa haujanielewa nilichokisema hapo juu. Ngoja niseme tena "with bolded letters" labda wakati huu utaelewa;

Kwa heshima kubwa niliyo nayo kwako humu JF, ninaamua kutoendeleza tena majibizano na huyo jamaa anayejiita Mng'ato katika mada hii.
 
Sikatai. Lakini majibizano si tu kila Mara Ni ubishi usio maana lakini huleta kufunuliwa ubongo kwa wasiojua chochote.
Kufunuliwa ubongo hufanyika kupitia MAJADILIANO na sio MAJIBIZANO. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hizo dhana kuu mbili.

MAJIBIZANO hulenga zaidi katika kuoneshana ujuaji wakati MAJADILIANO yana lengo la kuelimishana.
 
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana 2020 kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia 2025.
 
Back
Top Bottom