Majonzi udsm. ni coet department ya civil and water

Kabla ya yote namuomba Mwenyezi Mungu aiweke pahala pema peponi roho ya marehemu Dr Kimaro. Cha pili namuomba mleta habari na wadau wengine,naomba ufafanuzi zaidi kwa kutaja na jina la kwanza ili tupate taarifa kamila, Wengine tunawafahamu akina Dr. Kimaro wengi hapo chuoni, please!!

Anaitwa Dr. Tumaini Anderson Kimaro - Civil and Water Resources Engineering - CoET

kuna taarifa kuwa ataagwa kesho 24/01/2011 (jtatu) na kusafirishwa kwenda Hedaru kwao kwa ajiri ya mazishi. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amen
 
Dr kimaro. 1 of young doctors ni coet. has passed out after car accident 2day at dodoma. rip

Mkuu, passed out ni "kuzimia" na passed "away" ni kufariki dunia. Inaelekea ulimaanisha "passed away". Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu sehemu njema peponi.

Amandla...
 
I knew him since 1995 when he was doing his MSc at Mlimani, Beyond that, we used to be TAFES member at Mlimani. Attending prayers together and all. We were neighbours at Changanyikeni at that time his wife was teaching in one of secondary school in DSM. Nimeumia ila Mungu anasababu ya yeye kututangulia. I met him lastly when he was coming from Japan.
Kimaro, umenitangulia mungu akulaze pema peponi, na siku ya mwisho tuonane. RIP
 
Mkuu, passed out ni "kuzimia" na passed "away" ni kufariki dunia. Inaelekea ulimaanisha "passed away". Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu sehemu njema peponi.

Amandla...

Hicho kizungu cha mainjinia bana, tehe tehe
 
Back
Top Bottom