Majoho ya wahitimu bomba

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya kwanza la ualimu..JPG

View attachment 72216


View attachment 72217

Soccertean.jpg
tulipomaliza kupewa shahada zetu lilipata fursa ya kupiga picha ya pamoja na mgeni rasmi
 
Hapa hakuna maana ya picha sasa!

Picha ya mwisho inaonyesha hawa wanawake wana walakini katika kufikiri. Huyu kesho ukimwambia kuwa mmeamuliwa kutoa mapenzi kinyume na maumbile (department 4) atakubali maana kama kakubali upuuzi huo eti kwa vile imeamliwa, kesho akiambiwa imeamuliwa hivyo na hilo atafanya maana hakuna analohoji!!!!!!!!!!!!!
 
Halafu mtu anatinga na vyeti vyake kwenye interview kwa mtindo huu kesi inahamia kwenye 'mfumo .......'

Kweli wewe ndio HR unamuajiri ninja awe receptionist? Au customer care..loh!
 
Back
Top Bottom