View attachment 73472
Nilijua tu wengi mtafungua kwa UDENDA, hii ni kwa wadau wa LIVER-FOOL tu!!!!!!!!!!
mimi mwenyewe ni Jogoo, tutukanane, oooooops, sbb ulidhani ni mlima kweli?
Sisi washabiki hatuna shida ya ubingwa kwa sasa maana bado tunatambua tuna matatizo ambayo yanafaa kurekebishwa ndio tunaweza kuwaza ubingwa,ukiwa mshabiki wa Liverpool basi ujue hata katika maisha ni mvumilivu sana.

Si lazima uwe mwanandoa bali hata uvumilivu katika changamoto za maisha ya kawaida,unaweza kwa miaka mingi unashabikia timu ambayo hata kushinda ni kazi?Ni sawa sawa na mtu anayejituma bila mafanikio na kila mwaka yeye yupo pale pale wakati wenzake wanazidi kupata mafanikio.Ina maana maShabiki wa Liverpool wote ni wanaNdoa?! You will never walk alone...
naomba tuheshimiane, heshima ni kitu cha bure, unatuita ss liver fool au nyie ndio ndio mlioendelea kupita vilabu vyote duniani mpaka mna manchester united refaree academyView attachment 73472
Nilijua tu wengi mtafungua kwa UDENDA, hii ni kwa wadau wa LIVER-FOOL tu!!!!!!!!!!
Kweli mi nilifikiri mambo ya mgongo! Anyway hivi mechi huwa inachezwa dakika ngapi ngapi?View attachment 73472
Nilijua tu wengi mtafungua kwa UDENDA, hii ni kwa wadau wa LIVER-FOOL tu!!!!!!!!!!
........kweli iwe, tena ukiona shabiki wa Liva ujue ni mtu mzima na soka analijua, washabiki wengi wa Man U eidha ni watoto au wanaopenda timu inayoshindaSisi washabiki hatuna shida ya ubingwa kwa sasa maana bado tunatambua tuna matatizo ambayo yanafaa kurekebishwa ndio tunaweza kuwaza ubingwa,ukiwa mshabiki wa Liverpool basi ujue hata katika maisha ni mvumilivu sana.
zamani ilikua dk 90, siku hizi mechi ianchezwa hadio filimbi ya mwisho, kuna mechi juzi Refa aliongeza dk 12!!! sijaua muktadha wa swali lako katika uzi huuKweli mi nilifikiri mambo ya mgongo! Anyway hivi mechi huwa inachezwa dakika ngapi ngapi?
lfc WAUNGWANA SANA, ATAKUJA NA BUSARA ZA HALI YA JUUNgoja LiverpoolFC aje hapa!