Majogoo Mpo? Mlima Huu!!!!!!

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
image001.jpg
Nilijua tu wengi mtafungua kwa UDENDA, hii ni kwa wadau wa LIVER-FOOL tu!!!!!!!!!!
 
Sisi washabiki hatuna shida ya ubingwa kwa sasa maana bado tunatambua tuna matatizo ambayo yanafaa kurekebishwa ndio tunaweza kuwaza ubingwa,ukiwa mshabiki wa Liverpool basi ujue hata katika maisha ni mvumilivu sana.
 
Kunaukweli wahilo!;mmmmmmhhhh,...
 
Sisi washabiki hatuna shida ya ubingwa kwa sasa maana bado tunatambua tuna matatizo ambayo yanafaa kurekebishwa ndio tunaweza kuwaza ubingwa,ukiwa mshabiki wa Liverpool basi ujue hata katika maisha ni mvumilivu sana.

Ina maana maShabiki wa Liverpool wote ni wanaNdoa?! You will never walk alone...
 
Si lazima uwe mwanandoa bali hata uvumilivu katika changamoto za maisha ya kawaida,unaweza kwa miaka mingi unashabikia timu ambayo hata kushinda ni kazi?Ni sawa sawa na mtu anayejituma bila mafanikio na kila mwaka yeye yupo pale pale wakati wenzake wanazidi kupata mafanikio.

Sisi washabiki hatuna shida ya ubingwa kwa sasa maana bado tunatambua tuna matatizo ambayo yanafaa kurekebishwa ndio tunaweza kuwaza ubingwa,ukiwa mshabiki wa Liverpool basi ujue hata katika maisha ni mvumilivu sana.
........kweli iwe, tena ukiona shabiki wa Liva ujue ni mtu mzima na soka analijua, washabiki wengi wa Man U eidha ni watoto au wanaopenda timu inayoshinda

We shall Never Ever Walk alone..............
 
Kweli mi nilifikiri mambo ya mgongo! Anyway hivi mechi huwa inachezwa dakika ngapi ngapi?
zamani ilikua dk 90, siku hizi mechi ianchezwa hadio filimbi ya mwisho, kuna mechi juzi Refa aliongeza dk 12!!! sijaua muktadha wa swali lako katika uzi huu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom