Tanzania ni kama wameiaga demokrasia, upinzani Chadema wasusia uchaguzi huku wakilalamikia uhuni wa serikali

Acha uongo,mbona figisu nyingi kwenye chaguzi
Mtu hafuati taratibu, kanuni na sheria unataka aachwe ili iweje?
Kama hamjifunzagi kutokana na makosa, 2020 mtazikwa maana hata hao wachache wanaositasita kuwaunga mkono watabadili gia angani.
 
You people kutoka ke kwa sasa tz hatuhitaji upinzani hadi 2025 kama watakuwa na sera mbadala labda tutawafikiria. Ila kwa sasa magufuli is doing the best of best, hana wa kufanana naye hivyo wapinzani wamekosa hoja wana piga makelele tu, inshort wanaongozwa n yule shoga aliyeko belgium
 
What has helped Kenya is our constitution. Which reduced the power of the president and has enshrined the supremacy of our judicial system which a lot of times has ruled against parliament and the executive. Recently after the Chief Justice complained about funding, today the treasury has released money for funding new courts, but also Gok knew they would have a rough time at the corridors of justice due to this. Our courts are actually now the acme of power in Kenya and the bill of rights in our constitution. Combine that with the unequivocal stand in the law that ultimate power belongs to the people of Kenya not GoK, not parliament.
 
CHAPTER ONE – SOVEREIGNTY OF THE PEOPLE AND SUPREMACY OF THIS CONSTITUTION
1.Sovereignty of the people
(1)All sovereign power belongs to the people of Kenya and shall be exercised only in accordance with this Constitution.
(2)The people may exercise their sovereign power either directly or through their democratically elected representatives.
(3)Sovereign power under this Constitution is delegated to the following State organs, which shall perform their functions in accordance with this Constitution—
(a)Parliament and the legislative assemblies in the county governments;
(b)the national executive and the executive structures in the county governments; and
(c)the Judiciary and independent tribunals.
(4)The sovereign power of the people is exercised at—
(a)the national level; and
(b)the county level.
 
Wapinzani nchini ni kama magaidi, sijawahi ona upinzani wa hovyo na wa kishamba kama wa Tanzania, wao kuside na watu wanaotaka kuliangamiza Taifa ni kawaida na ndio maana wapinzani Tanzania hawapendwi.
Wapi umesikia wanapendwa?
 
Ambao hamko ndanî ya Tanzania, mkisoma mitandao ya kijamii ambayo upinzani wmeamua kwekeza nguvu nyìngi badala ya kuwekeza kwenye mitaa halisi unaweza sema tz kuna tatizo.
Njoo field ujionee, rais ana sapoti kubwa sana ya wananchi. Ila humu jf wengi ni upinzni ambao kuihalisia hawafiki laki 5.
Ndo mnavyojidanganya huko Lumumba
 
Mtu hafuati taratibu, kanuni na sheria unataka aachwe ili iweje?
Kama hamjifunzagi kutokana na makosa, 2020 mtazikwa maana hata hao wachache wanaositasita kuwaunga mkono watabadili gia angani.
Watendaji wa serikali kujificha na kufunga ofisi wapinzani washindwe kurejesha na kuchukua fomu ndio taratibu hizo kwa mujibu wa ccm?.mna mavi kwenye vichwa venu nyie
 
What has helped Kenya is our constitution. Which reduced the power of the president and has enshrined the supremacy of our judicial system which a lot of times has ruled against parliament and the executive. Recently after the Chief Justice complained about funding, today the treasury has released money for funding new courts, but also Gok knew they would have a rough time at the corridors of justice due to this. Our courts are actually now the acme of power in Kenya and the bill of rights in our constitution. Combine that with the unequivocal stand in the law that ultimate power belongs to the people of Kenya not GoK, not parliament.
Buda, kwani huwezi andika swahili
 
Watendaji wa serikali kujificha na kufunga ofisi wapinzani washindwe kurejesha na kuchukua fomu ndio taratibu hizo kwa mujibu wa ccm?.mna mavi kwenye vichwa venu nyie
Mtu wa chadema kama wewe unaniambia huu upuuzi unataka nikuelewe? Inakuaje wa vyama vingine vya upinzani wafanikiwe ila wengi wa CHADEMA ndio waone milango imefungwa?

Afadhali kuwa na mavi kichwani kuliko kuwa mfuasi wa chadema hii, haina mfano hata jinsi ilivyo pwaya.
 
Pambaneni na siasa zenu za kikabila 😂😂😂 ona hii video mnavyopigana mawe tena kwenye uchaguzi Mdogo tu.

Screenshot_20191108-222422-picsay.jpeg
 
Tunahitaji watu wenye uono km wa kwako
Kama mnajua ni mtu sahihi na anapendwa kwanini mnafanya fitina zisizo na maana.Iweje unajua unapendwa alafu hutaki kuona upinzani?!Ni taahira tuu ndio atakuelewa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom