Tanzania ni kama wameiaga demokrasia, upinzani Chadema wasusia uchaguzi huku wakilalamikia uhuni wa serikali

Hivi huwa unafikiria unachoandika au unandika tu,
Huo uchangamfu mbona haujawaondolea chochote zaidi ya kuendelea kudidimia,
Mbona msiende kuchangamsha serikali irudishe ajira angalau unemployment rate ipungue,
Uchangamfu ndio siasa za kikabila 😂😂😂

Tusingekua tumechangamka tungekua nyuma huko mlipo kiuchumi, umaskini, kielimu, kijeshi na kila kitu. Tungeanza tabia za kujaza omba omba kwenye mataifa ya watu kama mnavyofanya.

Kwa huu uchangamfu umelisaidia taifa leo hii tunaongoza ukanda wote huu kwa kila hali.
 
Mngekuwa wachangamfu mngekuwa mnajituma ili kuepuka kupewa misaada ya chakula karne hii,

Mngekuwa wachangamfu mngepigania mashamba yenu yanayomilikiwa na wazungu na wanasiasa,
Mngekuwa wachangamfu mngefanikiwa Kupambana na ukabila uliokithiri kila kona,
Mngekuwa wachangamfu mngekuwa mngepambana na wanasiasa wenu wanaowarudisheni utumwani.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Haya maandishi yako kuna siku utayachukia, ama sivyo watoto wako wakisoma watakana kuwa hukuwa baba yao
 
Mngekuwa wachangamfu mngekuwa mnajituma ili kuepuka kupewa misaada ya chakula karne hii,

Mngekuwa wachangamfu mngepigania mashamba yenu yanayomilikiwa na wazungu na wanasiasa,
Mngekuwa wachangamfu mngefanikiwa Kupambana na ukabila uliokithiri kila kona,
Mngekuwa wachangamfu mngekuwa mngepambana na wanasiasa wenu wanaowarudisheni utumwani.

Hayo yote umekaririshwa, ongeza na zako pia akili, tusingekua wachangmfu kwenye haka kainchi kadogo ambako zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, tungekua omba omba kama mlivyo.
 
Kukaririshwa kwa vitu vinavyoonekana,
Wachangamfu wa kupewa misaada ya chakula karne hii,
Kama nchi yenu ni jangwa UAE wasemeje 😂😂😂 cha ajabu hao UAE ambao ni jangwa huwa wanadonate misaada ya chakula kenya.
 
UAE wana mafuta na utajiri mara 1,000 zaidi yenu, hivyo hela wanazo, ndio kama sisi tulivyo na hela za kununua mahindi kutoka kwenu hadi tukasababisha bei ya mahindi kwenu kwenda juu.
 
Hayo yote umekaririshwa, ongeza na zako pia akili, tusingekua wachangmfu kwenye haka kainchi kadogo ambako zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, tungekua omba omba kama mlivyo.
Mna uchangamfu gani nyinyi mnapewa chakula cha msaada na wachangamfu wanaoishi kwenye desert, nyinyi ni wakuliwa tu, hamna uchangamfu wowote. Mshapitwa na wakati. Mnaliwa na viongozi wenu huku mnawakenulia, mnaliwa na wawekezaji, mnaliwa na majirani zenu huko migingo na icj, mnaliwa na magaidi, mnaliwa na ukabila, huo uchagamfu au ulofa.
Embu kaa kimya tu we jamaa, unaongea na watu tunaoijua Kenya nje ndani.
 
Adjustments.JPG
 
Hehehe!! Nimezoea kuona wewe mtu wa sentensi moja, itakua umeguswa penyewe hadi ukaandika insha, ila ndio ukweli huo sisi huwa tumechangamka.
 
Tusingekua tumechangamka tungekua nyuma huko mlipo kiuchumi, umaskini, kielimu, kijeshi na kila kitu. Tungeanza tabia za kujaza omba omba kwenye mataifa ya watu kama mnavyofanya.

Kwa huu uchangamfu umelisaidia taifa leo hii tunaongoza ukanda wote huu kwa kila hali.
Kwenye kuongoza huu kwa kila kitu siyo kweli, kwenye wizi ndio tuna ushahidi kuwa hamna mpinzani
 
Wewe na akili zako kubwa unajua ilipofikia ss hv?,,unakaririshwa vitu vitatu vinavyomeza salio lote la nchi yako na mikopo kibao itayokuja kulipwa kwa jasho lako.....pole
Akili zenu ndogo amjui nchi ilifikishwa wapi
 
Wewe na akili zako kubwa unajua ilipofikia ss hv?,,unakaririshwa vitu vitatu vinavyomeza salio lote la nchi yako na mikopo kibao itayokuja kulipwa kwa jasho lako.....pole
Hoja ya kwanza ulitumia tako la kulia kufikili hii ya pili umetumia tako la kushoto kufikili
 
Bora mm nilitumia yako,ww ulitumia mkund wako wenye chembe za mavi ambazo,tatizo unafikiria kwenda kuzibuliwa mtaro na ma cc wenzako ndo maana kila kitu chao unashangilia na kushadadia ,upinge Ili wanaokutindua wakose ulaji?,fala kweli,...endelea kushangilia mabasha wako

Back
Top Bottom