Elections 2010 Majirani zetu, kenya,uganda,zambia,rwanda,burundi,sudan,malawi tayari !!!!!!!!!!!!

masa2009

Member
Nov 5, 2010
11
0
KENYA -walipigana,wakabadili serkali kwa stail ya ndizi na chungwa, wakaunda serikali ya umoja, baadae wakabadili na katiba

WAGANDA-wakapigana,wengne waliingia mstuni,

zambia- fuatilia uone

RWANDA- sote tunajua waliuana

BURUNDI-n kama RWANDA TU

SUDAN wamepigana sana

MALAWI--wametuzidi tuuuuuu

ZANZIBAR--WEWEEWEWEWEE, MAUAJI

TANZANIA BARA JE?

tusidanganyane, njia ni moja, lazima kuua na kumwaga damu, its a matter of time wamenena wazungu, tusubiri tuone
 
Sikubaliani na wewe kwamba ni lazima kuua na kumwaga damu. Tukifuatilia historia ya uhuru, Kenya wamemwaga damu, Uganda same thing, etc. Lakini Tanzania hatukumwaga damu na tulipata uhuru.
Cha msingi hapa ni kutokukata tamaa na vyama vya upinzani viendelee kujitawanya vijijini kueleza ubaya wa CCM. Sidhani kama siku chache zinazotumika kufanya kampeni zinatosha kusambaza ujumbe kwenye vijiji vyote. Kumbuka kwamba mwl. Nyerere alitumia vikao vya kawaha kueneza TANU.
Huu ndo wakati muafaka kwa CHADEMA na vyama vingine kujitanua ili ikifika 2015 uelewa uwe mkubwa. Wabunge wa upinzani nao wafanye kazi ya kueneza ujumbe wa upinzani.

Naamini hiki ndo kipindi cha mwisho kwa CCM. Labda wabadilike na kuweka kipaumbele kwenye maslahi ya raia.
 
Hakuna haja kumwaga damu na anayeombea hatutakii mema...tuwaelimkishe watu ,wakupe kura ufanye mabadiliko !
 
KENYA -walipigana,wakabadili serkali kwa stail ya ndizi na chungwa, wakaunda serikali ya umoja, baadae wakabadili na katiba

WAGANDA-wakapigana,wengne waliingia mstuni,

zambia- fuatilia uone

RWANDA- sote tunajua waliuana

BURUNDI-n kama RWANDA TU

SUDAN wamepigana sana

MALAWI--wametuzidi tuuuuuu

ZANZIBAR--WEWEEWEWEWEE, MAUAJI

TANZANIA BARA JE?

tusidanganyane, njia ni moja, lazima kuua na kumwaga damu, its a matter of time wamenena wazungu, tusubiri tuone

maumivu ya kichwa huanza taratibu.....ila cha muhimu hata tukianzisha mziki tusije kuuihusisha JF .....
 
umechelewa sana na hapa ndio tunaposema kua CHADEMA kamwe ha;iwezi kua chaguo la watanzania maana mebtality yao iko chini sana.


hawana strategic ambayo inanishawishi kua kweli wanawatakia mema wananchi


ni watu wasio na dira na wanaoendeshwa na hisia tena mbaya, kama vile za kidini, kimajimbo (kanda)


sina imani kwa sasa na CHADEMA
 
Back
Top Bottom