Majirani zetu, kenya,uganda,zambia,rwanda,burundi,sudan,malawi tayari !!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majirani zetu, kenya,uganda,zambia,rwanda,burundi,sudan,malawi tayari !!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by masa2009, Nov 5, 2010.

 1. m

  masa2009 Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KENYA -walipigana,wakabadili serkali kwa stail ya ndizi na chungwa, wakaunda serikali ya umoja, baadae wakabadili na katiba

  WAGANDA-wakapigana,wengne waliingia mstuni,

  zambia- fuatilia uone

  RWANDA- sote tunajua waliuana

  BURUNDI-n kama RWANDA TU

  SUDAN wamepigana sana

  MALAWI--wametuzidi tuuuuuu

  ZANZIBAR--WEWEEWEWEWEE, MAUAJI

  TANZANIA BARA JE?

  tusidanganyane, njia ni moja, lazima kuua na kumwaga damu, its a matter of time wamenena wazungu, tusubiri tuone
   
 2. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sikubaliani na wewe kwamba ni lazima kuua na kumwaga damu. Tukifuatilia historia ya uhuru, Kenya wamemwaga damu, Uganda same thing, etc. Lakini Tanzania hatukumwaga damu na tulipata uhuru.
  Cha msingi hapa ni kutokukata tamaa na vyama vya upinzani viendelee kujitawanya vijijini kueleza ubaya wa CCM. Sidhani kama siku chache zinazotumika kufanya kampeni zinatosha kusambaza ujumbe kwenye vijiji vyote. Kumbuka kwamba mwl. Nyerere alitumia vikao vya kawaha kueneza TANU.
  Huu ndo wakati muafaka kwa CHADEMA na vyama vingine kujitanua ili ikifika 2015 uelewa uwe mkubwa. Wabunge wa upinzani nao wafanye kazi ya kueneza ujumbe wa upinzani.

  Naamini hiki ndo kipindi cha mwisho kwa CCM. Labda wabadilike na kuweka kipaumbele kwenye maslahi ya raia.
   
 3. s

  samoz Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja kumwaga damu na anayeombea hatutakii mema...tuwaelimkishe watu ,wakupe kura ufanye mabadiliko !
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  maumivu ya kichwa huanza taratibu.....ila cha muhimu hata tukianzisha mziki tusije kuuihusisha JF .....
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  umechelewa sana na hapa ndio tunaposema kua CHADEMA kamwe ha;iwezi kua chaguo la watanzania maana mebtality yao iko chini sana.


  hawana strategic ambayo inanishawishi kua kweli wanawatakia mema wananchi


  ni watu wasio na dira na wanaoendeshwa na hisia tena mbaya, kama vile za kidini, kimajimbo (kanda)


  sina imani kwa sasa na CHADEMA
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Thread kama hizi nadhani zingekuwa zinafutwa na waliozianzisha kupewa ban.
   
Loading...