Majirani zetu Kenya naona Rais wao anahutubia taifa mwisho wa mwaka na kutoa tumaini na hamasa kwa Wakenya

Yule wa nchi ya wadanganyika yuko busy na biashara ya kununua wapinzani. Mtu aliyekulia kwenye mazizi ya ng'ombe hata umpeleke kule kwa watu weupe akakaa kwa miaka 30, kamwe hawezi kustaarabika.
 
Kwaiyo wwe jirani akipigana na mkewe na wwe unaenda kupigana..... Kuweni na akilia ya kujiongeza bac .
Mkuu dunia nzima ina ustaarabu wa kuiga Mazuri huu utamaduni wa kuiga mabaya hapana shaka umezaliwa pale Lumumba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom