Ataishia kutoa ahadi kama yuko kwenye kampeni.Atahutubia nini? Hotuba zilishaisha
Mkuu dunia nzima ina ustaarabu wa kuiga Mazuri huu utamaduni wa kuiga mabaya hapana shaka umezaliwa pale Lumumba!Kwaiyo wwe jirani akipigana na mkewe na wwe unaenda kupigana..... Kuweni na akilia ya kujiongeza bac .
Prove that you are a human being !Popote ni kupigana risasi naona