pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Yaani hii picha 'photoshop' ya kawaida sana ndio ilifanya vitengo vya usalama vikamkamata huyo mchekeshaji kwa jina Idris Sultan? Hadi akahojiwa kwa saa tano na nyumba yake ikapekuliwa na polisi wakaamrisha kwamba aripoti kwao siku ifatayo? Like seriously? IDRIS SULTAN AACHIWA KWA DHAMANA- MWANANCHI Alafu eti vifungu vya sheria vilivyotumiwa kumkamata ni; Kujifananisha na mtu mwingine. Kuchapisha taarifa za uongo.