Majirani watz mna dhiki kweli, yaani hamna utani kabisa, hata na wachekeshaji

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,923
13,344
Snapshot%2528746%2529.png

Yaani hii picha 'photoshop' ya kawaida sana ndio ilifanya vitengo vya usalama vikamkamata huyo mchekeshaji kwa jina Idris Sultan? Hadi akahojiwa kwa saa tano na nyumba yake ikapekuliwa na polisi wakaamrisha kwamba aripoti kwao siku ifatayo? Like seriously? IDRIS SULTAN AACHIWA KWA DHAMANA- MWANANCHI Alafu eti vifungu vya sheria vilivyotumiwa kumkamata ni; Kujifananisha na mtu mwingine. Kuchapisha taarifa za uongo.
 
Akili ndogo hushughulika namambo ya hovyohovyo
Cha kushangaza zaidi ni kwamba amri ilitoka juu, baada ya Idris kupost hiyo picha. Nanukuu, ''Naona mipaka ya kazi yako huijui, jisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi waambie nimetumwa na Makonda, utapata ujumbe wako.'' -RC wa Dar akiamrisha kupitia IG. Hivi niulize, sheria ya Tz inakubali amri kama hiyo kupeanwa kupitia mitandao ya kijamii?
 
Unafahamu maana ya neno "dhiki" ?

Lkn hatujawahi kuuana wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda, Kenya, Burundi, Kongo, Sudani & Co., hivyo angalau hilo linasawazisha!
Ashakum si matusi ila nyinyi ni wapumbavu kupindukia. Mnaunga mkono huu upuuzi? Mnataka kusema ni hatia kumtakia mtu 'birthday' njema? Tena kwa kutumia ubunifu 'presentable' na wa hali ya juu kama huo? Mmerogwa?
 
Badilisha Kauli, hivi waliouwawa pale mwembe chai au kule pemba sio watz
Unajua mauaji ya kimbali mzee??
Yale si mauaji ya kimbali.
Hakuna mwaka Tz kulitokea mauaji ya wenyewe kwa wenyewe km ilivyo Rwanda ,Congo .
Mauaji ya watu wanne watano ufananishe na mauaji ya watu mia mpk elfu !
Huwez kuwa sirias.
 
Cha kushangaza zaidi ni kwamba amri ilitoka juu, baada ya Idris kupost hiyo picha. Nanukuu, ''Naona mipaka ya kazi yako huijui, jisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi waambie nimetumwa na Makonda, utapata ujumbe wako.'' -RC wa Dar akiamrisha kupitia IG. Hivi niulize, sheria ya Tz inakubali amri kama hiyo kupeanwa kupitia mitandao ya kijamii?
Wee mkuu wa mkoa yupo ktk serikali ndogo(local government ).
Halafu Rais wala hakushughulika na huyo Idris na wala hakutoa amri akamatwe bali ni Makonda na shobo zake.
Na kuna mwanasheria amejizatiti kumtetea Idris na kumkosoa Makonda asikurupuke km haijui sheria.
Tatzo sio Tanzania nzima Tatzo ni Makonda wa Dar ww unajumuisha taifa.
 
Ashakum si matusi ila nyinyi ni wapumbavu kupindukia. Mnaunga mkono huu upuuzi? Mnataka kusema ni hatia kumtakia mtu 'birthday' njema? Tena kwa kutumia ubunifu 'presentable' na wa hali ya juu kama huo? Mmerogwa?
Nimekuuliza nini maana ya neno "dhiki"?
 
Wee mkuu wa mkoa yupo ktk serikali ndogo(local government ).
Halafu Rais wala hakushughulika na huyo Idris na wala hakutoa amri akamatwe bali ni Makonda na shobo zake.
Na kuna mwanasheria amejizatiti kumtetea Idris na kumkosoa Makonda asikurupuke km haijui sheria.
Tatzo sio Tanzania nzima Tatzo ni Makonda wa Dar ww unajumuisha taifa.
Sijakuelewa, kwahivyo Dar wanatumia sheria zao wenyewe na polisi wao pia? Kama kuna mtu ambaye alikuwa anamtetea ilikuwaje akakamatwa kwa tuhuma za kipuuzi kama hizo?
 
Unauliza kama nani? Kama hujui maana yake, tafuta kamusi acha upumbavu.
buda mbona design kama umecatch mafeelings kupitiliza, huyo idris kweli kuna sheria kavunja ila huwa inapuuzwa, ni makonda tu kaamua kula nae sahani moja, wapo wanaomchora magu vibaya zaidi ya idris lkn hawafanywi jambo.
So usijibambe sana msee.
 
Haha! :D Kuna maswali ya kipumbavu ambayo hayana mtindo mwingine wa kuyajibu. Huyo Makonda si ni 'attack dog' wa mzee au? Huo ujeuri anautoa wapi na kwanini hakuna yeyote ambaye ana ubavu wa kumpinga anapovunja sheria? Vitengo vya usalama vipo hapo kwa matumizi yake au?
 
Unamaanisha watu wachache wakidedi sio issue au vp!
Unajua mauaji ya kimbali mzee??
Yale si mauaji ya kimbali.
Hakuna mwaka Tz kulitokea mauaji ya wenyewe kwa wenyewe km ilivyo Rwanda ,Congo .
Mauaji ya watu wanne watano ufananishe na mauaji ya watu mia mpk elfu !
Huwez kuwa sirias.
 
Kama raisi ni sesere na kila muda yuko stimu ya bangi na ugoro..huwezi elewa

Viva Makonda, Viva Magufuri
 
Ashakum si matusi ila nyinyi ni wapumbavu kupindukia. Mnaunga mkono huu upuuzi? Mnataka kusema ni hatia kumtakia mtu 'birthday' njema? Tena kwa kutumia ubunifu 'presentable' na wa hali ya juu kama huo? Mmerogwa?

Lkn ni bora kuliko kuuwana kama Kenya au Somalia!
 
Back
Top Bottom