Majirani mjifunze umuhimu wa kushirikiana na upinzani kwenye maendeleo ya nchi, Joho na Uhuru yaani Mombasa panawaka

Wewe punguani mmesahau mlivyokuwa mnauana sisi ndiyo tukaja kuwasuluhisha na kuwapa somo?
Sasa suluhisho kwa hayo unayoyasema ni nini? Si ni haya ambayo yanaendelezwa na rais U.K kwa sasa? Kuna msemo flani kwa lugha ya kiluhya, 'vindu vichenjanga', yaani mambo yabadilika. Sasa hivi ukiniambia Kenya tuige ubabe unaoendelea Tz au tuwaalike mtufunze kuhusu masuala kama haya ntakuita kichaa.
 
Back
Top Bottom