The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,081
- 14,116
Tangu Mheshimiwa Rais aingie madarakani kwa kweli kajipatia umaarufu sana na utumbuaji wake wa majipu. Watu wamekuwa wanatumbuliwa Week in Week out wakati huo huo teuzi nyingine zikifanyika kiziba mapengo yaliyoachwa.
Kwa huu utumbuaji wa majipu kuna kitu ambacho mpaka sasa sijakielewa vizuri. Je, huu utumbuaji ni kwa ajili ya UBOVU wa hawa watendaji au wanatumbuliwa kwa ajili ya UBADHIRIFU?
Kama ni kwa ajili ya utendaji wao bado tumeona baadhi ya waliotumbuliwa wakirudishwa kupitia teuzi nyingine kama za Ubunge, mfano mama Malecela. Kama ni Ubadhirifu ni kwa nini hawafikishwi kwenye ile Mahakama maarufu ya Mafisadi!!?
Wajuzi mtusaidie ............................!!