Majipu ndio mafisadi?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
Mwaka jana kwenye kampeni za uchaguzi, CCM walijinadi ya kuwa mafisadi yako UKAWA na UKAWA nako wakasema mafisadi yako CCM.

Naomba mnijibu wahusika swali langu hapo juu.
 
Majipu yapo ccm ila kutokana na uwongo walo zoea hawezi kuwa wakweli hata siku moja.
 
Mwaka jana kwenye kampeni za uchaguzi, CCM walijinadi ya kuwa mafisadi yako UKAWA na UKAWA nako wakasema mafisadi yako CCM.

Naomba mnijibu wahusika swali langu hapo juu.
Hahaha.... Pande zote mbili nakwambia
 
Back
Top Bottom