Utumbuaji majipu waachiwe Magufuli Na Kassimu. Mawaziri wanajitakia bure maadui katika jamii. Ikibidi wafanye kwa siri basi. Sio sifa kufukuza watu hadharani. Nakubaliana Na ushauri wa Sumaye. Mawaziri wengine wanafanya kazi kwa woga. Sheria, kanuni na taratibu lazima zifuatwe katika kuwapiga kalamu wazembe!!