Majipu halmashauri ya Kwimba

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
125
36
Idara ya Ardhi,matano

Idara ya Elimu ,Matatu,pesa za walimu za uhamisho wanakula.

Idara ya Afya,matano hapo matatu ni sugu. Dawa hakuna kabisa hospital zinaishia kwao tu.

Idara ya Fedha matatu ila lipo moja ni sugu.

Kwa Leo nikomee hapo,Nimeacha Idara NNE nitaziweka siku zijazo pamoja na majina ya hawa watu wanaochelewesha Maendeleo kwetu.

Mh,Mandago
Diwan M'halanga
K/tibu Chadema (W) Kwimba
0765183733/0782270412
(Bphiled)
 
Haya yanatokea kila kona ya nchi si Kwimba peke yake, ila pia jitahidi kuepuka kuandika kama ulivyofanya hapo kwenye red kwakuwa huyo dakitari wa majipu hatumii hicho kama kigezo cha kutoa matibabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom