Majini, Mapepo, Maruhani, Uchawi na Kitimoto/Nguruwe; ukweli ni upi?

Imani Nikama Moyo Wa Mtu .Amini Unavyo Amini Usitazame Mawazo Ya Mtu Mmoja Utapotea.Lazma Ufanye Utafiti Kabla Ya Ku Ufanyia Kazi Ushauri.
 
Kasome biblia agano jipya, Yesu amemkuta mtu ana bonge na mapepo, yule mtu akalia sana, akamuuliza Yesu una nini nasi? kwanini unataka kutuua? akaomba twakuomba bas usitufanye kitu, turuhusu tuwaingie hao nguruwe, Yesu akauliza wewe pepo mchafu jina lako nani? yule mtu akajibu, tuko wengi sisi ni jeshi. Yesu akawaruhusu wakaenda na kuwaingia nguruwe. yule mtu akawa huru. sasa mimi sitaki kutoa ufafanuzi zaidi, mjumbe hauwawi, kila mtu sijui akisomaga apa ua anaelewaje, ila wewe kwa mujibu wa swali lako tafakari.....................................!!!!!!!

Si kwamba mapepo waliwaingia nguruwe ila nguruwe walikataa kuingiliwa na mapepo ndo maana wakaona ni heri kufa baharini kuliko kuingiwa na mapepo..........na hpo ndo ikawa siri ya mapepo kukaa baharini......ila nguruwe hakuingiliwa na mapepo.....
 
Dhibitisha, ikiwezekana unakili mstali mzima na ref na kutuonyesha kwamba tokea pale nguruwe walikataa na kusema no no please, na hivyo mapepo yakasema kama mmetukataa wacha twende baharini na pia dhibitisha kuwa toke siku ile ndo chanzo cha mapepo kukaa baharini. dhibitisha tafadhari.
 
Unaweza kuwa sawa.
 
Me nakula kitimoto, nyama tamu ile dunia nzima, nina mpango wa kuyafuga, na ninavuta bangi.

Sijawai hisi chochote, itakuwa ni kweli
 
Unasumbuliwa na wanga kila usiku? Unaona mauzauza ulalapo? Mapanya na mapaka yenye sauti za ajabu ajabu vinakusumbua? Unaamka na uchovu na kuota ndoto za ajabu? Lala na mfupa wa kitimoto, sio kitandani weka uvunguni au ufungie kwenye kona ya chumba unacholala...wakija jamaa watasepa...hiyo ndio kiboko yao
 
Nilisafiri kwenda sehemu ivi, hali ikawa mbaya, mzee wa mji akaleta kaweka kila chumba tulipumzika siku 2 tuu, baada ya hapo hali ikazidi, nilikuwaga siamini lakini huniambii kitu kwa sasa!! Hadi wamesafisha mji ndipo amani ikawepo.
 
Usisingizie chakula hata siku moja, chakula hakina shida. Wanaosema mambo ya chakula ni wale wanaofuata au mlengo wa kiyahudi kabla ya kuja Kristo. Chakula hakina shida kabisa shida ni maisha yetu kama hayaambatani na aliye juu. Ndio tabu inaanzia hapo,na kumsaidia mtu huyo ni kumleta amjue yule aliye juu. Usijidanganye kuyatuliza kwa kufuata mapepo. No. Bali nenda tofauti na yanavyo taka kwa kumpokea yule aliye juu. Uwe mkweli ndani usidanganye nafsi yako na mpokee kwa imani. Full stop...'shida ni mwalimu lakini mkali'.take care.
 
bangi ni kilevi, ulevi ni mzizi wa dhambi meaning ni channel ambayo shetani anapitishia makombora yake. Wachawi na uchawi ni vitu vinavyotumiwa na wachawi.

Ambao hawarogeki na wale wanakumbatiwa na mungu pekee yake. Ni wale walifunikwa na damu takatifu ya yesu.

aminaaaaaaa.
 
9. Hata siku ya pili, walipokuwa wakisafiri na kuukaribia mji, Petro alipanda juu darini, kwenda kuomba, yapata saa sita ya mchana;
10. akaumwa na njaa sana, akataka kula; lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia,
11. akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;
12. ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
13. Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule.
14. Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.
15. Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi.

In a matter of speaking, there's a sense in which ur so genius
 
Dhibitisha, ikiwezekana unakili mstali mzima na ref na kutuonyesha kwamba tokea pale nguruwe walikataa na kusema no no please, na hivyo mapepo yakasema kama mmetukataa wacha twende baharini na pia dhibitisha kuwa toke siku ile ndo chanzo cha mapepo kukaa baharini. dhibitisha tafadhari.

Ukiwa na akili wala haikusumbui. Wale nguruwe wote waliingia baharini wakafa. Biblia yangu ndo inavyoniambia. Ndo maana majini huogopa nguruwe kwa maana yanakumbuka msiba wa ndugu zao walioingia kwenye wale nguruwe hatimaye wakatupwa baharini. Hivyo basi majini yakimuona nguruwe yanafikiri yanaweza kuingia sehemu isiyo sahihi na kupelekea kukosa makazi yao ambayo ni watu wanaoabudu nao na kuishi nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom