Majini hupenda heshima na ni wakorofi sana

Naomba kujua ujauzito wake unachukua muda gani hadi ajifungue....kama wanazaa...

mimba ya jinni hukaa kwa muda mchache sana na anaweza kwa siku moja kuzaa hata mara 3 au 2 na mzao mmoja huweza kutotoa watoto watatu mpka wanne na hivyo unaweza kuta jinni mmoja ana watoto 300 mpk 500(lakini hutofautiana na makabila makabila mengine huwa na watoto wachache sana)
 
shetani ni jina au ushetani ndio sifa
-: shetani ni sifa ya kiumbe ambayo binadamu au jinni anakuwa nayo akishafanya jambo ambalo limemchukiza mungu kwa kiasi kukubwa au tuseme kukufulu na moja wapo ni pale unapomkataa mola wako au amri yake na kumuabudu mwingne au unapojifananisha wewe na MUNGU

Ibilisi pia ni jina au kiibilisi ndio sifa
-:Ibilisi ni jina la jinni ambaye sasa amekuwa shetani mkuu kwa uovu wake kupitiliza
hapo mwanzo
inaelezwa kulikuwa na viumbe kabla yetu ambao ndio hao MAJINNI walifanya uharibifu mkubwa ingawa hatukubashiliwa sana habari zao ila tunaelezwa kuwa walifanya uharibifu mkubwa ndipo MWENYEZIMUNGU akatuma jeshi la MALAIKA kuwaangamiza inaelezwa kuwa mojawapo katika viumbe waliobakia ni alikuwa ni IBILISI
kipindi hicho ni mdogo kabisa hata malaika waliporudi na kusema tushawaangamiza wote MWENYEZIMUNGU akawaambia bado na kuna mmoja yupo sehemu flani ila msimuue mleteni
Basi IBILISI akaletwa mbinguni akawa katika kundi moja na MALAIKA ingawa yeye alikuwa ni JINNI ila kwa amri ya ALLAH akawa yupo pamoja nao
Na ndo mana wapo watu leo wanasema IBILISI ni malaika aliohasi lakini ulweri ni kwamba ni JINNI aliekuwa katika kundi la malaika na katika ukuaji wake IBILISI alikuwa mchamungu kwelikweli kiasi hakuna malaika aliyefikia hadhi yake ya uchamungu na mpaka ikafikia MWENYEZIMUNGU kumpa kipaumbeke zaidi au tuseme kuvutiwa nae kwa uchamungu wake ipo hadithi iliyotujia kuwa ilifika mpaka akakabidhiwa funguo za milango ya PEPONI ndo maana kuna wakati IBILISI akitumia vibaraka wake kuwahadaa WANADAMU kuwa funguo za peponi anazo kwa kutumia huo WADHIFA alokuwa nao hapo kabla

Swari linakuja ni vipi kuwa SHETANI wakati sifa moja wapo ya SHETANI ni kumkufulu mungu au kwenda kinyume kabisa na AMRI zake na kama tulivyoona alikuwa ni mchamungu mkubwa mpk kuwashinda malaika

hapa ipo hivi Ikumbukwe kuwa sifa kuu ya MALAIKA ni kumuabudu mungu na kutekeleza kila waamlishavyo na MOLA WETU MLEZI na sifa za jinni nikama nitakavyoelezea hapo chini kwa uchache na moja ya sifa ya kijinni ni KIBRI na kupendwa kutukuzwa na kuonekana yeye bora zaidi ya wengine
MWENYEZI MUNGU aliwaambia MALAIKA nataka niumbe KIUMBE aje kuwa KHALIFA(kiongozi) katika DUNIA MALAIKA wakamuuliza ni vipi uumbe viumbe tena wakati wale wa awali walileta uharabifu mkubwa mpaka ukawaangamiza wote MWENYEZI MUNGU akawajibu mimi najua zaidi kuliko nyinyi ndipo akamuumba ADAMU.
MALAIKA akiwemo na IBILISI walipewa mtihani wakashindwa lakini ADAMU akafaulu ndipo walipoamuliwa wamsujudie ADAMU
MALAIKA wote wakafanya hivyo isipokuwa IBILISI akaonyesha sasa tabia yake ya kijinni kwa kumwambia MWENYEZIMUNGU mimi ni bora kuliko huyu umemuumba kwa UDONGO mimi kwa MOTO ilipaswa yeye aniabudie mimi
Basi toka hapo MWENYEZIMUNGU akamlaani na kuwa KIUMBE wa motoni na ndipo sifa ya ushetani ilipoanzia ila alimuomba jambo moja AMPE UHAI MPAKA KIAMA na MWENYEZIMUNGU AKAMJALIA HILO(KUMKUBALIA)
*hapa tunaona kuwa IBILISI au SHETANI MKUU afi mpaka SIKU YA KIAMA*
naye IBILISI akamuahidi MWENYEZIMUNGU kuwa "hakika huyu kiumbe nitampoteza yeye na vizazi vyake waache njia ya haki ya kukufata wewe na waje kwenye batili kwangu ili siku hiyo usinichome peke yangu"
*kwa kauri hii tunagundua kuwa BINADAMU tumeumbwa kwa UTASHI hiyari yetu kufuata ya haki tulioamlisha na MWENYENZIMUNGU ama kufuata batili ya IBILISI twende nae pamoja motoni*
na tangu hapo IBILISI akaanza kumpotosha BINADAMU kwa kuanzia mama yetu HAWA na mpaka waiposhushwa duniani na mpaka leo hii ibilisi anawaingiza katika USHETANI eidha MAJINNI wenzie ama sisi BINADAMU viburi

Jini ni jina u jini ni sifa
-: jini ni kiumbe na katika viumbe wenye akili timamu MWENYEZI MUNGU aliumba VIUMBE aina tatu

MALAIKA- kwa nuru
MAJINNI - kwa moto
BINADAMU - kwa udongo

comenti ni ndefu sana ningemfafnua jini kwa undani ila kwa uchache

MAJINNI
wanazaliana
wanakufa
wanakula
wanaoana
wanaumwa
wanapenda nk
-:ingawaje wapo majinni tangu kuumbwa kwa dunia mpk leo wapo HAWAJAKUFA

na majinni wanatabia kama za kibinadamu au maisha kama ya kibinadamu
wanzinzi
waongo
wakweri
wachamungu(wakrsto kwa waislamu)
wanazuoni(wanaoijua elimu ya dini)
wanafiki(wanaijua dini ila washenzi)
wezi
mataperi
wema
maskini
matajiri
viongozi
wafanyakazi
makahaba
wapiga deal
mahakimu
wafungwa
wenye nguvu
wanyonge
wapo makabila mbalimbali matabaka mbali wenye vyeo mbalimbali

na asilimia kubwa ya majinni ni WAISLAMU !!

HIvyo kutokana na maelezo hayo tunagundua kuwa miongoni mwa MASHETANI wapo BINADAMU na MAJINNI na ndo mana wakati mwingine mitaani mtu ukiwa unafanya mambo mabaya sana watu hukuita SHETANI
husema " cheki huyu fulani anavyofanya mambo ya kishetani kamlawiti mwanae au hivi na hivi"
*LAKINI HAWASEMI KAFANYA MAMBO YA KIJINNI 7BU MAJINNI sio wote wana sifa ya USHETANI*

na katika matukio yote mabaya HAKUNA TUKIO ANALOLIOGOPA jini kama KUFANYA MAPENZI KINYUME na MAUMBILE.
Mzimu wa Kolelo nikiachana na makosa machache ya kiuandishi nimeupenda uchambuzi wako na kwa kiasi fulani nimeongeza maarifa, kuna point chache ambazo tunaweza tusikubaliane lakini sitazijadili tena kwakuwa ni tofauti za ki mtazamo zaidi lakini ukweli na uhalisia unabaki ule ule
Hatuwezi kukubaliana kwa kila kitu wala hatuwezi kupingana kwa kila kitu cha muhimu zaidi ni je kwenye mjadala fulani kuna cha kujifunza,? Ukipata muda endelea kufafanua tafadhali
 
ni kweli hayo yote nilioleza asilimia kubwa ni ya masimulizi ingawa machache nimeyashuhudia
kilichotokea hapo ni IMANI na kila mtu ana IMANI yake hivyo si lazima watu wote wakubaliane na mimi jinsi ninavyojua au nilivyoeleza
kwa mfano nikisema ni simulizi kwa maana nimejifunza kupitia vitabu mbarimbari QURAN na HADITHI na BIBLIA kidogo ya agano la kale niliipitia nikisema nimeshuhudia kwa maana nimeshazungumza nao(sio live) kutoka kwa wagonjwa waliokuwa nayo mwilini na wengne nilikuwa nao nyumbani (wengine walikuja kibiinadamu)
na pia kufika sehemu ambazo wanazoISHI au Kwenye JABALI kubwa huko mlimani ulipo hasa hao wenyewe
kwa maananilipata bahati ya kuwauliza mambo mengi sana na si haba wanajua mengi ya dunia ndo mana nikiona watu wanabisha kuhusu haya MADUDE huwa naona hadi huruma

hivyo ndugu mshana jr hata mimi pia najifunza vitu pia toka katika baadhi ya mada zako 7bu ulimwengu wa kiroho ni mkubwa sana huwezi kujua yote. nakubali kabisa hatuwezi kwenda sawa kwa kila kitu ila tunapeana zaidi maarifa ila usichoke 7bu lengo lako si kuusambaza uchawi bali watu waufahaamu na kuchukua tahadhari hivyo mimi nipo hivyo pia 7bu naujua na nishaufanyia kazi
hivyo pamoja sana HOJA kwaHOJA
 
MAJINI KATIKA DINI YA KIISLAM ( Q 72:1-14 )

Katika lugha ya kiarabu, neno Jini linamaanisha kitu kilichofichwa au kisichoonekana QURAN 1:71 Neno hili hutumiwa na Waarabu kwa ajili ya kutaja jina fulani. Kwa Waarabu, Jini anayevaa sura ya kike humwita Jinivya, hivyo majini Ghul/Ghilan, nao hujifunua kwa sura ya kike.

Katika imani ya Kiislamu, wao huamni kwamba Majini hutofautiana na Mashetani. Majini waliosilimu wao huitwa majini mazuri na hawa wakiwa katika hali kujionyesha kwa wanadamu, hao huitwa AJINU na wale walioacha kusilimu mwaka 610 AD (Baada ya Kristo) katika safari ya mtume Muhamad alipotoka Taif , wao wanaitwa Mashetani . Hivyo, wao wanapokuwa katika hali ya kutoonekana huitwa ALBAHATWA lakini pia Majini wote wanapokuwa katika hali ya kutoonekana waweza kuitwa ALBAHATWA, yaani PEPO.

Muislamu huamini kwamba kuna majini ya kike na kiume. Lakini pia , huamini kuwa Majini huoana na kuzaliana QURAN 55:56 na kuwa Majini huzaa sana kuliko binadamu na kwamba, Jini mmoja anaweza kuzaa watoto 300, na kuwa Jini huzaa watoto 3 hadi 4 kwa mkupuo. Somo QURAN 55:26-28 na kuwa Majini wanaweza kuishi miaka 400-1,000 kisha wanaweza kufa. Tofauti yao na binadamu ni kwamba wao wanaishi miaka mingi kuliko binadamu. Lakini pia, huamini kuwa wapo Majini wanaokula, wanaomeza, wanaokunywa, ila tofauti yao na wanadamu ni kwamba wao hula kwa kutumia mkono wa kushoto. Pia hiamini kuwa Majini wana uwezo wa kuzaa na Wanadamu. Soma QURAN 17:64. Waislamu huamini kwamba mtu anauwezo wa kuoa au kuolewa na Jini bila kujua, na mwanadamu anauwezo wa kumuua Jini. Soma QURAN 57:14-15

SURATULJINN

Ndani ya QURAN pia imo sura inayoitwa Suratuljinn ( QURAN 72 ). Sura hiyo huitwa hivyo kwa sababu ni sura ya Majini (Mapepo).

Kwa nini wanatajwa Majini katika imani ya Kiislamu?

Majini wanatajwa sana katika dini ya Kiislamu kwa kuwa ni waislam kwa kusilimu, kwa kuiamini Quran tukufu aliyopewa mtume Muhamad.. Majini walisilimu na kuwa Waislamu mwaka 610 AD(Baada ya Yesu) SOMA 72:1-14 QURAN. Hivyo basi, unapotumia neon jinni maana yake unatumia lugha ya Kiarabu ukimaanisha Pepo mchafu. Ni kama Spoon/kijiko, vyote ni kitu kimoja. Ndani ya Quran, neon “PEPO” limetumika kama Paradiso, mbinguni. Lakini pia, tunapata neon jingine liitwalo AKHERA ila neno hilo halimaanishi PARADISO, bali kwa lugha ya Kiarabu neno hili “AKHERA” lina maana ya KUZIMU. Lakini pia ukiangalia ndani ya SURALJINN ( QURAN 72:1-2, 8-9, 12 ) Mapepo hawa wanajieleza waziwazi kabisa kuwa mwanzo waliishi Mbinguni, walipogeuka kwa kuasi, walitegwa na Mungu. Linganisha na maandiko haya katika Biblia ( UFUNUO WA YOHANA 12:7-9; YUDA 1:6-8; UFUNUO 20:10; UFUNUO 21:8 ). Kwa mujibu wa dini ya Kiislamu, hawa majini ( Mapepo ) waliotegwa na Mungu Mbinguni wakiwa Malaika huko na kutupwa Duniani baada ya kuasi huko, sasa, wakati wa mtume Muhamad katika safari yake ya kurudi Taif mwaka 620 AD (baada ya Yesu) wapo walioamini na kuona kuwa Quran ni ya ajabu ya kuwatangazia neema ya kuabudu.

Katika vol 8-9, husema , wanapojaribu kwenda Mbinguni ( walikotoka zamani ), hukuta ile Mbingu imezungushiwa vimondo vya moto. Hivyo, hudai kuwa mbingu yao iko Akhera, yaani Kuzimu, maana Mbingu ya juu ina moto na hawana uwezo wa kwenda huko. SOMA ( QURAN 72:9 ), Mbingu ina utisho wa moto ila Akhera ( kuzimu ) hakuna shida kwao .

Hivyo basi, kulingana na jinsi Allah asemavyo ndani ya Quran kuwa nimeumba binadamu na majini ili muniabudu ( QURAN 57:58 ; 51:56) na kuwa , mbinguni mwao Majini wanaabudu (Majini waliosilimu mwaka 620 AD) ,SOMA QURAN 72:14, ambao ni wema wanaosafiri na kurithi uzima wa milele upatikanao Akhera ( Kuzimu ). Lengo kubwa la Shetani ni kufanya urafiki na wanadamu wengi ili kwa wingi huo apate watu wengi wa kwenda nao JEHANAMU ( QURAN 6:128 ). Jambo la muhimu kujua hapa ni kwamba moto wa milele hakuwekewa Mwanadamu bali ni Shetani na malaika zake wote ( Majini au mapepo ). Hawa, hawana nafasi tena ya kuungama au kutubu.
 
Asante sana nitatafuta muda tuweze kuonana ana kwa ana...mada inaelekea kuzuri sasa baada ya wachafuzi wa post kupita na kupotelea kusikojulikana
Pia wale wanaopinga uwepo wa haya mambo ukiwachunguza wengi ni vijana tu ambao maisha yao yote wamekulia mjini au hata kama si mjini hawajawahi kwa sababu zozote zile kupata nafasi ya kujifunza mengine nje ya elimu yao ya kawaida ya darasani
 
Nahitaji kujifunza zaidi kuhusu hivi viumbe itabidi nikutafute
 
Mkuu umefafanua vizuri sana,kuna point ambazo mwenye akili au anayetaka kujua akiziunga anapata kitu kizima.lakini kwa hapa wapo 'wakukurupuka 'watakuja kuripuka vby vby..
vumilia twende...
 
Mahali ambapo nakudharau ni kuhamisha mada ya majini na kuingiza kudharau dini za watu, by the way usione naongea ukadhani am a Catholic church believer, kijana am a seventh day Adventist so watch out bitch....unaunga unga na vipicha vyako ambavyo kiuhalisia IPO nje ya mada husika...
Watu wa jinsi hii ukitaka kuwanyamazisha ni kukaa kimya na kutojibu chochote wanachoandika
 
MAJINI KATIKA DINI YA KIISLAM ( Q 72:1-14 )

Katika lugha ya kiarabu, neno Jini linamaanisha kitu kilichofichwa au kisichoonekana QURAN 1:71 Neno hili hutumiwa na Waarabu kwa ajili ya kutaja jina fulani. Kwa Waarabu, Jini anayevaa sura ya kike humwita Jinivya, hivyo majini Ghul/Ghilan, nao hujifunua kwa sura ya kike.

Katika imani ya Kiislamu, wao huamni kwamba Majini hutofautiana na Mashetani. Majini waliosilimu wao huitwa majini mazuri na hawa wakiwa katika hali kujionyesha kwa wanadamu, hao huitwa AJINU na wale walioacha kusilimu mwaka 610 AD (Baada ya Kristo) katika safari ya mtume Muhamad alipotoka Taif , wao wanaitwa Mashetani . Hivyo, wao wanapokuwa katika hali ya kutoonekana huitwa ALBAHATWA lakini pia Majini wote wanapokuwa katika hali ya kutoonekana waweza kuitwa ALBAHATWA, yaani PEPO.

Muislamu huamini kwamba kuna majini ya kike na kiume. Lakini pia , huamini kuwa Majini huoana na kuzaliana QURAN 55:56 na kuwa Majini huzaa sana kuliko binadamu na kwamba, Jini mmoja anaweza kuzaa watoto 300, na kuwa Jini huzaa watoto 3 hadi 4 kwa mkupuo. Somo QURAN 55:26-28 na kuwa Majini wanaweza kuishi miaka 400-1,000 kisha wanaweza kufa. Tofauti yao na binadamu ni kwamba wao wanaishi miaka mingi kuliko binadamu. Lakini pia, huamini kuwa wapo Majini wanaokula, wanaomeza, wanaokunywa, ila tofauti yao na wanadamu ni kwamba wao hula kwa kutumia mkono wa kushoto. Pia hiamini kuwa Majini wana uwezo wa kuzaa na Wanadamu. Soma QURAN 17:64. Waislamu huamini kwamba mtu anauwezo wa kuoa au kuolewa na Jini bila kujua, na mwanadamu anauwezo wa kumuua Jini. Soma QURAN 57:14-15

SURATULJINN

Ndani ya QURAN pia imo sura inayoitwa Suratuljinn ( QURAN 72 ). Sura hiyo huitwa hivyo kwa sababu ni sura ya Majini (Mapepo).

Kwa nini wanatajwa Majini katika imani ya Kiislamu?

Majini wanatajwa sana katika dini ya Kiislamu kwa kuwa ni waislam kwa kusilimu, kwa kuiamini Quran tukufu aliyopewa mtume Muhamad.. Majini walisilimu na kuwa Waislamu mwaka 610 AD(Baada ya Yesu) SOMA 72:1-14 QURAN. Hivyo basi, unapotumia neon jinni maana yake unatumia lugha ya Kiarabu ukimaanisha Pepo mchafu. Ni kama Spoon/kijiko, vyote ni kitu kimoja. Ndani ya Quran, neon “PEPO” limetumika kama Paradiso, mbinguni. Lakini pia, tunapata neon jingine liitwalo AKHERA ila neno hilo halimaanishi PARADISO, bali kwa lugha ya Kiarabu neno hili “AKHERA” lina maana ya KUZIMU. Lakini pia ukiangalia ndani ya SURALJINN ( QURAN 72:1-2, 8-9, 12 ) Mapepo hawa wanajieleza waziwazi kabisa kuwa mwanzo waliishi Mbinguni, walipogeuka kwa kuasi, walitegwa na Mungu. Linganisha na maandiko haya katika Biblia ( UFUNUO WA YOHANA 12:7-9; YUDA 1:6-8; UFUNUO 20:10; UFUNUO 21:8 ). Kwa mujibu wa dini ya Kiislamu, hawa majini ( Mapepo ) waliotegwa na Mungu Mbinguni wakiwa Malaika huko na kutupwa Duniani baada ya kuasi huko, sasa, wakati wa mtume Muhamad katika safari yake ya kurudi Taif mwaka 620 AD (baada ya Yesu) wapo walioamini na kuona kuwa Quran ni ya ajabu ya kuwatangazia neema ya kuabudu.

Katika vol 8-9, husema , wanapojaribu kwenda Mbinguni ( walikotoka zamani ), hukuta ile Mbingu imezungushiwa vimondo vya moto. Hivyo, hudai kuwa mbingu yao iko Akhera, yaani Kuzimu, maana Mbingu ya juu ina moto na hawana uwezo wa kwenda huko. SOMA ( QURAN 72:9 ), Mbingu ina utisho wa moto ila Akhera ( kuzimu ) hakuna shida kwao .

Hivyo basi, kulingana na jinsi Allah asemavyo ndani ya Quran kuwa nimeumba binadamu na majini ili muniabudu ( QURAN 57:58 ; 51:56) na kuwa , mbinguni mwao Majini wanaabudu (Majini waliosilimu mwaka 620 AD) ,SOMA QURAN 72:14, ambao ni wema wanaosafiri na kurithi uzima wa milele upatikanao Akhera ( Kuzimu ). Lengo kubwa la Shetani ni kufanya urafiki na wanadamu wengi ili kwa wingi huo apate watu wengi wa kwenda nao JEHANAMU ( QURAN 6:128 ). Jambo la muhimu kujua hapa ni kwamba moto wa milele hakuwekewa Mwanadamu bali ni Shetani na malaika zake wote ( Majini au mapepo ). Hawa, hawana nafasi tena ya kuungama au kutubu.

sawa ila jaribu kupata MWARIMU MZURI anaeijua QURAN vema akufundishe nadhani utaelewa mengi zaidi

QURAN ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ila kwa wale walioamini tu kama MIMI mmoja wapo nimeiamini na nimeikubali QURAN

na kwa kuendelea UISLAM haulazimishi mtu kukubaliana na RAI zetu bali kulingania kwa maneno mazuri
7BU nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu

shukrani
 
Sasa mimi nimekosea nini tena? Si twaongelea majini au?
 
sawa ila sijaelewa unazungumzia kuhusu hao majini au unakanusha au unatujuza au unatusuta sisi tunaoamini mafundisho ya QURAN
kwa mujibu wa uandishi wa post yako ile juu yaan sijaelewa unasimama wapi hasa

Labda nikuuzie jinni. Ila limebaki moja na ni kiwete inabidi ulibebe muda wote. Uko tayari?
 
Asante sana nitatafuta muda tuweze kuonana ana kwa ana...mada inaelekea kuzuri sasa baada ya wachafuzi wa post kupita na kupotelea kusikojulikana
Pia wale wanaopinga uwepo wa haya mambo ukiwachunguza wengi ni vijana tu ambao maisha yao yote wamekulia mjini au hata kama si mjini hawajawahi kwa sababu zozote zile kupata nafasi ya kujifunza mengine nje ya elimu yao ya kawaida ya darasani
mtu mnafiki hua hajifichi hata siku moja,ataonekana tu, hizo comment unazozikubali zimepingana na wewe kama mimi niliyekupinga toka mwanzo tu na kukwambia kua Majinni ni viumbe kama binadamu ila wameumbwa kwa material mengine,huzaana na pia hufa, wewe ulivyomnafiki umeanza kujikataa mwenyewe!! Si ulisema jinni hafi? Bingwa wa kujitega unazidi kujitega tu!! Mara useme hakuna jinni mzuri mara ujigeuke useme wapo majinni wazuri na wabaya!! Kifupi huna ujualo zaidi ya kujifanya unajua kumbe huna lolote!

Acha unafiki wewe kiumbe pia uache kusoma comment kwa "Mindset" kukubali kwako au kukataa kwako kunategemeana na comment imeandikwa na nani!! Bingwa wa kujitega umejikataa mwenyewe kwenye uzi wako!! Punguza kutuletea uharo wako humu.

MAJINI KATIKA DINI YA KIISLAM ( Q 72:1-14 )

Katika lugha ya kiarabu, neno Jini linamaanisha kitu kilichofichwa au kisichoonekana QURAN 1:71 Neno hili hutumiwa na Waarabu kwa ajili ya kutaja jina fulani. Kwa Waarabu, Jini anayevaa sura ya kike humwita Jinivya, hivyo majini Ghul/Ghilan, nao hujifunua kwa sura ya kike.

Katika imani ya Kiislamu, wao huamni kwamba Majini hutofautiana na Mashetani. Majini waliosilimu wao huitwa majini mazuri na hawa wakiwa katika hali kujionyesha kwa wanadamu, hao huitwa AJINU na wale walioacha kusilimu mwaka 610 AD (Baada ya Kristo) katika safari ya mtume Muhamad alipotoka Taif , wao wanaitwa Mashetani . Hivyo, wao wanapokuwa katika hali ya kutoonekana huitwa ALBAHATWA lakini pia Majini wote wanapokuwa katika hali ya kutoonekana waweza kuitwa ALBAHATWA, yaani PEPO.

Muislamu huamini kwamba kuna majini ya kike na kiume. Lakini pia , huamini kuwa Majini huoana na kuzaliana QURAN 55:56 na kuwa Majini huzaa sana kuliko binadamu na kwamba, Jini mmoja anaweza kuzaa watoto 300, na kuwa Jini huzaa watoto 3 hadi 4 kwa mkupuo. Somo QURAN 55:26-28 na kuwa Majini wanaweza kuishi miaka 400-1,000 kisha wanaweza kufa. Tofauti yao na binadamu ni kwamba wao wanaishi miaka mingi kuliko binadamu. Lakini pia, huamini kuwa wapo Majini wanaokula, wanaomeza, wanaokunywa, ila tofauti yao na wanadamu ni kwamba wao hula kwa kutumia mkono wa kushoto. Pia hiamini kuwa Majini wana uwezo wa kuzaa na Wanadamu. Soma QURAN 17:64. Waislamu huamini kwamba mtu anauwezo wa kuoa au kuolewa na Jini bila kujua, na mwanadamu anauwezo wa kumuua Jini. Soma QURAN 57:14-15

SURATULJINN

Ndani ya QURAN pia imo sura inayoitwa Suratuljinn ( QURAN 72 ). Sura hiyo huitwa hivyo kwa sababu ni sura ya Majini (Mapepo).

Kwa nini wanatajwa Majini katika imani ya Kiislamu?

Majini wanatajwa sana katika dini ya Kiislamu kwa kuwa ni waislam kwa kusilimu, kwa kuiamini Quran tukufu aliyopewa mtume Muhamad.. Majini walisilimu na kuwa Waislamu mwaka 610 AD(Baada ya Yesu) SOMA 72:1-14 QURAN. Hivyo basi, unapotumia neon jinni maana yake unatumia lugha ya Kiarabu ukimaanisha Pepo mchafu. Ni kama Spoon/kijiko, vyote ni kitu kimoja. Ndani ya Quran, neon “PEPO” limetumika kama Paradiso, mbinguni. Lakini pia, tunapata neon jingine liitwalo AKHERA ila neno hilo halimaanishi PARADISO, bali kwa lugha ya Kiarabu neno hili “AKHERA” lina maana ya KUZIMU. Lakini pia ukiangalia ndani ya SURALJINN ( QURAN 72:1-2, 8-9, 12 ) Mapepo hawa wanajieleza waziwazi kabisa kuwa mwanzo waliishi Mbinguni, walipogeuka kwa kuasi, walitegwa na Mungu. Linganisha na maandiko haya katika Biblia ( UFUNUO WA YOHANA 12:7-9; YUDA 1:6-8; UFUNUO 20:10; UFUNUO 21:8 ). Kwa mujibu wa dini ya Kiislamu, hawa majini ( Mapepo ) waliotegwa na Mungu Mbinguni wakiwa Malaika huko na kutupwa Duniani baada ya kuasi huko, sasa, wakati wa mtume Muhamad katika safari yake ya kurudi Taif mwaka 620 AD (baada ya Yesu) wapo walioamini na kuona kuwa Quran ni ya ajabu ya kuwatangazia neema ya kuabudu.

Katika vol 8-9, husema , wanapojaribu kwenda Mbinguni ( walikotoka zamani ), hukuta ile Mbingu imezungushiwa vimondo vya moto. Hivyo, hudai kuwa mbingu yao iko Akhera, yaani Kuzimu, maana Mbingu ya juu ina moto na hawana uwezo wa kwenda huko. SOMA ( QURAN 72:9 ), Mbingu ina utisho wa moto ila Akhera ( kuzimu ) hakuna shida kwao .

Hivyo basi, kulingana na jinsi Allah asemavyo ndani ya Quran kuwa nimeumba binadamu na majini ili muniabudu ( QURAN 57:58 ; 51:56) na kuwa , mbinguni mwao Majini wanaabudu (Majini waliosilimu mwaka 620 AD) ,SOMA QURAN 72:14, ambao ni wema wanaosafiri na kurithi uzima wa milele upatikanao Akhera ( Kuzimu ). Lengo kubwa la Shetani ni kufanya urafiki na wanadamu wengi ili kwa wingi huo apate watu wengi wa kwenda nao JEHANAMU ( QURAN 6:128 ). Jambo la muhimu kujua hapa ni kwamba moto wa milele hakuwekewa Mwanadamu bali ni Shetani na malaika zake wote ( Majini au mapepo ). Hawa, hawana nafasi tena ya kuungama au kutubu.
umeandika uharo tu hapa,ukiusadifisha na aya za qur'aan usizozijua,jambo kama hulijui nyamaza,mtapata laana bure!
 
Basi mkuu ngoja nitiririke......

Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili; Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa. Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote.

Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na wanauwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka. Idadi ya Majini ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 300 na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa. Majini wako katika aina Mbili (2); Maruhani na Mashetani.

Maruhani ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi. Mashetani ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara. Baba wa Majini anaitwa JANN ambaye kimaumbile yeye ana tofauti ndogo na wenzie kwamba yeye ameumbwa kwa ulimi wa Moto.

Pamoja na mambo mengi wanayoyafanya Majini na kujihusisha na binadamu, Majini vilevile wanafanya kazi za Malaika hasa zile za mambo ya kupeleka Habari na kuwalinda Binadamu, mambo ya doria za Angani. Kazi hizi siyo zao lakini kwa vile wanapenda kuiga mambo basi huiga hatakazi ambazo siyo zao. Majini na Binadamu wana sifa zinazofanana kwani wote wana akili na wote watahesabiwa siku ya Kiama na watazawadiwa kwa mema yao na maovu yao, wote wanakula na kuzaa.

Kama ilivyo, kuna wataalamu wa Kijini wenye fani sawa na Wataalamu wa Kibinadamu wenye kufanya kazi zinazofanana. Tofauti kubwa iliyopo kati ya Majini na Binadamu ni kwamba; Majini hawana maumbile maalum na wana uwezo wa kujibadilisha katika maumbile mbalimbali ingawa wengi wa Majini wapo katika maumbile ya paka, nyoka na ndege. Binadamu wao wana umbile maalum ambalo halibadiliki.

Majini wana uwezo wa kuwaingia Binadamu wakati Binadamu hawana uwezo wa kuwaona
Majini isipokuwa kwa ufundi maalum. Namna Majini wanavyowaingia Binadamu iko katika njia tatu:- 1. Njia ya kwanza (1): ni kama Remote Control; Hii inamfanyayule aliyedhibitiwa kuweza kuelewa au kuwa na fahamu zake lakini anakuwa hawezi yeye mwenyewe kuudhibiti mwili wake na anasema yale anayotaka yule Jini. 2. Njia ya Pili (2); Jini humwingia Binadamu ndani ya utosi na kuingia katika Mfumo wa Damu.Hii inamfanya yule Binadamu kupoteza fahamu na anakuwa haelewi kabisa kinachoendlea na anafanya yote anayotaka yule Jini. 3. Njia ya Tatu (3) ni ile ya Jini kukaa nyuma ya Binadamu. Njia hii humfanya yule Binadamu anakuwa hapotezi fahamu ila anakuwa hawezi kufanya lolote na mwili wake. {mospagebreak}

Majini vilevile wana uwezo wa Kusafiri kwa kasi ya upepo bila kutumia chombo chochote; Binadamu hana uwezo huo isipokuwa kwa msaada wa Majini. Hiyo ni kusema kwamba mambo yote yanayofanywa na Wachawi na Wanga hayawezekani isipokuwa kwa msaada wa Kijini.Jambo la muhimu ni kwamba pamoja na uwezo mkubwa walionao Majini, Wanadamu wana uwezo wa Kumtawala na Kumdhibiti Jini na vivyo hivyo Majini nao wanaweza kumtawala na kumdhibiti Binadamu wote kwa kutumia utaalamu maalum. Wako Majini wa kila Dini na kila Kabila, na kuna watu wanaofuga Majini kwa kujikinga, na kwa kuboresha kazi zao au kujipatia utajiri. Pia kuna watu wanaofunga ndoa na Majini kwa kutumia utaalamu au kwa hiari za Majini hao.

Wabaya wa Majini ni Mashetani ambao wengi hawana Dini na ndio wanaoharibu mimba za Wazazi na kufanya mapenzi na watu usingizini bila hiari zao. Kuepuka usichafuliwe kimapenzi, kabla ya kulala piga Bismillahi kwa Muislamu au taja jina la Yesu mara tatu kwa Mkristo. MAUMBILE YAO YAKOJE? ·
· Majini wana maumbile makuu manne (4); · Wanakuwa katika maumbile ya Nyoka. · Wanakuwa katika maumbile ya Nge. · Wanakuwa katika maumbile ya Mbwa. · Wanakuwa katika maumbile ya Paka (Mweusi). · Kuna Majini wengine hawana maumbile yeyote na hawa shughuli yao ni kuruka hewani kuzunguka huku na kule na husafiri mbali kwa mara moja yaani kufumba na kufumbua. SURA ZA MAJINI NA MASHETANI: Majini sura zao ni za kutisha na mfano wake ni kama Matunda ya Mti wa Zaqum ambao unatoa matunda yenye sura mbaya na yanayofanana na mawe.

Majini wanakuwa na mkutano kila siku nyakati za kuchomoza na kuzama Jua na nyakati hizo ndizo ambazo wanafanya maasi yao. Fitna na Maasi yao mengi wanafanyia upande wa Mashariki. Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza. WANAKULA NINI? Majini wao wanakula mifupa na mavi ya farasi.
Hivyo ni vyaluka vyao vikuu pamoja na kwamba wengine wanakula Moshi (Ubani) na wengine wanapenda kunywa damu. Wanapokula au kunywa, wao hutumia mkono wa kushoto na Majini wazuri ndio ambao wanakula mifupa mizuri na kuwaachia mifupa mibaya na uchafu Majini wabaya au Mashetani.

JE MAJINI WANAZAA? Majini wanaoa na kuongezeka kama tulivyo
Binadamu na huzaana kwa wingi sana. Katika wao kuna wale wanaokula na kuoana na kuna wale ambao hawafanyi hayo. Binadamu Mwanamume ana uwezo wa kumuoa Jini Mwanamke na Jini wa Kiume ana uwezo wa kumuoa Binadamu Mwanamke pamoja na kwamba ndoa inayotambulika na Mwenyezi Mungu ni ya kiumbe kwa kiumbe yaani Binadamu kwa Binadamu na Jini kwa Jini
unaona ulichopost hapa basi hiki kitabu nilikisoma yapata miaka mitatu iliyopita nafikili sasa ipo soft copy ambayo wewe ulichofanya ulicopy mahari manenoachache ukaja kupaste hapa
bila kuwa na ufahamu na ulichokiandika hapa
mkuu umetililika vizuri sana ingawa kuna sehemu kidogo umenitatiza

RUHANI na SHETANI

kama majini yamegawanyika aina mbiri RUHANI na SHETANI
je SUBIANI ni nini ?
sikutaka kujifanya najua sana nikataka kwenda na wewe taratibu eidha nifaidike na ujuacho au nawe uongeze upeo
lakini ukaikimbia post kama si kuipotezea
MAJINI KATIKA DINI YA KIISLAM ( Q 72:1-14 )

Katika lugha ya kiarabu, neno Jini linamaanisha kitu kilichofichwa au kisichoonekana QURAN 1:71 Neno hili hutumiwa na Waarabu kwa ajili ya kutaja jina fulani. Kwa Waarabu, Jini anayevaa sura ya kike humwita Jinivya, hivyo majini Ghul/Ghilan, nao hujifunua kwa sura ya kike.

Katika imani ya Kiislamu, wao huamni kwamba Majini hutofautiana na Mashetani. Majini waliosilimu wao huitwa majini mazuri na hawa wakiwa katika hali kujionyesha kwa wanadamu, hao huitwa AJINU na wale walioacha kusilimu mwaka 610 AD (Baada ya Kristo) katika safari ya mtume Muhamad alipotoka Taif , wao wanaitwa Mashetani . Hivyo, wao wanapokuwa katika hali ya kutoonekana huitwa ALBAHATWA lakini pia Majini wote wanapokuwa katika hali ya kutoonekana waweza kuitwa ALBAHATWA, yaani PEPO.

Muislamu huamini kwamba kuna majini ya kike na kiume. Lakini pia , huamini kuwa Majini huoana na kuzaliana QURAN 55:56 na kuwa Majini huzaa sana kuliko binadamu na kwamba, Jini mmoja anaweza kuzaa watoto 300, na kuwa Jini huzaa watoto 3 hadi 4 kwa mkupuo. Somo QURAN 55:26-28 na kuwa Majini wanaweza kuishi miaka 400-1,000 kisha wanaweza kufa. Tofauti yao na binadamu ni kwamba wao wanaishi miaka mingi kuliko binadamu. Lakini pia, huamini kuwa wapo Majini wanaokula, wanaomeza, wanaokunywa, ila tofauti yao na wanadamu ni kwamba wao hula kwa kutumia mkono wa kushoto. Pia hiamini kuwa Majini wana uwezo wa kuzaa na Wanadamu. Soma QURAN 17:64. Waislamu huamini kwamba mtu anauwezo wa kuoa au kuolewa na Jini bila kujua, na mwanadamu anauwezo wa kumuua Jini. Soma QURAN 57:14-15

SURATULJINN

Ndani ya QURAN pia imo sura inayoitwa Suratuljinn ( QURAN 72 ). Sura hiyo huitwa hivyo kwa sababu ni sura ya Majini (Mapepo).

Kwa nini wanatajwa Majini katika imani ya Kiislamu?

Majini wanatajwa sana katika dini ya Kiislamu kwa kuwa ni waislam kwa kusilimu, kwa kuiamini Quran tukufu aliyopewa mtume Muhamad.. Majini walisilimu na kuwa Waislamu mwaka 610 AD(Baada ya Yesu) SOMA 72:1-14 QURAN. Hivyo basi, unapotumia neon jinni maana yake unatumia lugha ya Kiarabu ukimaanisha Pepo mchafu. Ni kama Spoon/kijiko, vyote ni kitu kimoja. Ndani ya Quran, neon “PEPO” limetumika kama Paradiso, mbinguni. Lakini pia, tunapata neon jingine liitwalo AKHERA ila neno hilo halimaanishi PARADISO, bali kwa lugha ya Kiarabu neno hili “AKHERA” lina maana ya KUZIMU. Lakini pia ukiangalia ndani ya SURALJINN ( QURAN 72:1-2, 8-9, 12 ) Mapepo hawa wanajieleza waziwazi kabisa kuwa mwanzo waliishi Mbinguni, walipogeuka kwa kuasi, walitegwa na Mungu. Linganisha na maandiko haya katika Biblia ( UFUNUO WA YOHANA 12:7-9; YUDA 1:6-8; UFUNUO 20:10; UFUNUO 21:8 ). Kwa mujibu wa dini ya Kiislamu, hawa majini ( Mapepo ) waliotegwa na Mungu Mbinguni wakiwa Malaika huko na kutupwa Duniani baada ya kuasi huko, sasa, wakati wa mtume Muhamad katika safari yake ya kurudi Taif mwaka 620 AD (baada ya Yesu) wapo walioamini na kuona kuwa Quran ni ya ajabu ya kuwatangazia neema ya kuabudu.

Katika vol 8-9, husema , wanapojaribu kwenda Mbinguni ( walikotoka zamani ), hukuta ile Mbingu imezungushiwa vimondo vya moto. Hivyo, hudai kuwa mbingu yao iko Akhera, yaani Kuzimu, maana Mbingu ya juu ina moto na hawana uwezo wa kwenda huko. SOMA ( QURAN 72:9 ), Mbingu ina utisho wa moto ila Akhera ( kuzimu ) hakuna shida kwao .

Hivyo basi, kulingana na jinsi Allah asemavyo ndani ya Quran kuwa nimeumba binadamu na majini ili muniabudu ( QURAN 57:58 ; 51:56) na kuwa , mbinguni mwao Majini wanaabudu (Majini waliosilimu mwaka 620 AD) ,SOMA QURAN 72:14, ambao ni wema wanaosafiri na kurithi uzima wa milele upatikanao Akhera ( Kuzimu ). Lengo kubwa la Shetani ni kufanya urafiki na wanadamu wengi ili kwa wingi huo apate watu wengi wa kwenda nao JEHANAMU ( QURAN 6:128 ). Jambo la muhimu kujua hapa ni kwamba moto wa milele hakuwekewa Mwanadamu bali ni Shetani na malaika zake wote ( Majini au mapepo ). Hawa, hawana nafasi tena ya kuungama au kutubu.
mara baadaye ukaibuka na maelezo ya kucopy pia ila sijataka kukujibu vibaya kutokana sikujua unasimama wapi nikakuuliza kutaka kujua lengo la post yako loh !

ndo ukaja na majibu haya

Labda nikuuzie jinni. Ila limebaki moja na ni kiwete inabidi ulibebe muda wote. Uko tayari?
hivyo basi sioni 7bu ya kulumbana na mtu asiyejua anachopost zaidi ya copy na paste ya mitandaoni naweza sema una ujualo kuhusu ulimwengu huu ni vema ukazidi kujifunza zaidi
hivyo basi
ENDELEAAAAAAÀ
 
mtu mnafiki hua hajifichi hata siku moja,ataonekana tu, hizo comment unazozikubali zimepingana na wewe kama mimi niliyekupinga toka mwanzo tu na kukwambia kua Majinni ni viumbe kama binadamu ila wameumbwa kwa material mengine,huzaana na pia hufa, wewe ulivyomnafiki umeanza kujikataa mwenyewe!! Si ulisema jinni hafi? Bingwa wa kujitega unazidi kujitega tu!! Mara useme hakuna jinni mzuri mara ujigeuke useme wapo majinni wazuri na wabaya!! Kifupi huna ujualo zaidi ya kujifanya unajua kumbe huna lolote!

Acha unafiki wewe kiumbe pia uache kusoma comment kwa "Mindset" kukubali kwako au kukataa kwako kunategemeana na comment imeandikwa na nani!! Bingwa wa kujitega umejikataa mwenyewe kwenye uzi wako!! Punguza kutuletea uharo wako humu.

Nina mashaka sana na uelewa we we jamaa halafu kama si wivu wa kike basi una hizo tabia
Huyu jamaa kamjibu MTU mwingine kabisa kulingana na kukubali hoja zake wee kimekuuma sana kwanini alikupinga...naamini unafahamu insha inakuwaje mnaandika kinachofanana lakini mwalimu atoe maksi tofauti?
Una tattizo kubwa sana LA kujenga hoja ishu ya majini huyo jamaa kasema kuna yanayokufa na mengine hayafi kabisa hiyo point umeiruka kwa sababu zako
Umejawa na mihemko na vijembe vya kipuuzi na kitoto mno lamda ndio masna jamaa anakupotezea.kama MTU anaandika uharo wee nini kinakuuma? Kama kamjibu mwingine hivi na wewe vile kwanini ukasirike?
Mimi ni mgeni hapa lakini kwa muda mfupi tu nimegundua una tatizo binafsi na huyu jsmaa , hiyo iko wazi jappo utabisha na umemshindwa huko kwrnye mambo yenu sasa hasira zote unamalizia kwenye nyuzi zake
 
Back
Top Bottom