Majini hupenda heshima na ni wakorofi sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,547
729,425
Si jina geni kwa kila mmoja wetu hapa jamvini.tumeshavijadili sana hivi viumbe visivyoonekana

Kuna hawa viumbe majini ambao huwaingia watu mara nyingi ikiwa wanawake na kuanza ukorofi mpaka vipewe vitu fulani fulani na ole wao wasimpe asichotaka pachatimbika

Waganga wanaotumia mizimu wao husema moja kwa moja kuwa ngoja tuwaulize mizimu inasemaje au hiyo kawape mizimu
Hizi ni baadhi tu ya lugha zinazotumika huko kwenye tiba za upande mwingine, ni lugha za heshima na zenye kuvutia zinazomuandaa mteja kujihisi yuko sehemu sahihi

LAKINI anayekwenda kujaribu matibabu haya ya upande wa pili awe makini na waganga feki wa kileo hata kama atatumia maneno ya waungwana na mizimu mara elfu moja

Waungwana hawana bei bali kile utoacho ni alama tu ya kuonyesha ushirikiano na commitment

Waungwana hawana masharti magumu Waungwana hushukuriwa mwishoni baada ya kufanikiwa mambo yako Ukikutana na mganga akawaita waungwana kisha akasema waungwana wanataka laki jua unapigwa live bila chenga
 
Kuna ile imani kuwa mwanamke akiwa ametoka kuzini na hajaoga mwili mzima majini huwa wana mvamia na kumchapa kibao, watu wanaita upepo mchafu? Haya nasikia yako sana sehemu za pwani.
 
Si jina geni kwa kila mmoja wetu hapa jamvini.tumeshavijadili sana hivi viumbe visivyoonekana
Kuna hawa viumbe majini ambao huwaingia watu mara nyingi ikiwa wanawake na kuanza ukorofi mpaka vipewe vitu fulani fulani na ole wao wasimpe asichotaka pachatimbika
Lakini ukiachana na hawa wakorofi kuna wale majini wa tiba...hawa husaidia tiba kupitia kwa waganga wanaotumia majini kuagua, kwahiyo unapokwenda kwa mganga na akakwambia ngoja tuwaite waungwana au ngoja tuwaulize waungwana au hii ni ya waungwana....kwahiyo usidhani waungwana ni kina nani waungwana ni viumbe majini
Waganga wanaotumia mizimu wao husema moja kwa moja kuwa ngoja tuwaulize mizimu inasemaje au hiyo kawape mizimu
Hizi ni baadhi tu ya lugha zinazotumika huko kwenye tiba za upande mwingine, ni lugha za heshima na zenye kuvutia zinazomuandaa mteja kujihisi yuko sehemu sahihi
LAKINI anayekwenda kujaribu matibabu haya ya upande wa pili awe makini na waganga feki wa kileo hata kama atatumia maneno ya waungwana na mizimu mara elfu moja
Waungwana hawana bei bali kile utoacho ni alama tu ya kuonyesha ushirikiano na commitment
Waungwana hawana masharti magumu
Waungwana hushukuriwa mwishoni baada ya kufanikiwa mambo yako
Ukikutana na mganga akawaita waungwana kisha akasema waungwana wanataka laki jua unapigwa live bila chenga

Katika ubora wako Mkuu na ndumbaism!
 
nahitaji majinimawili kaka uhohiyo uniinge?
 
Back
Top Bottom