Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 1,940
- 4,803
Habarini wakuu,
Najua humu ndani kuna watu wanauelewa mkubwa sana kuhusu mambo yasiyoonekana. Hivyo basi ningeomba wataalamu wa elimu hiyo wanifafanulie hili swala.Wakuu inasemekana kuwa majini huishi maeneo tofauti tofauti mfano kama vile mapangoni kwenye miti mikubwa makaburini ziwani au baharini na hata majumbani mwetu hasa chooni.
Sasa kama chooni huwa inasemekana ni mahali ambapo majini wabaya hupendelea kuishi vipi kuhusu wale wanaokaa na vyoo ndani nikimaanisha vyumba ambayo ni masters. Inamaana wanakua kwenye hatari kubwa yakuweza kupata madhara tofauti na wale wanakaa na vyoo nje ya nyumba.?
Ningeombaa wataalamu wanifafanulie.