Majina yatoka zaidi ya mara moja,mengine hayapo,utaraibu mbovu,nida wapiga kimya

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
620
1,000
Sijajua kama hii mamlaka iko serious mpaka sasa walitakiwa kujua mapungufu yaliyopo ili kuyarekebisha kuondoa kero zilizo katika zoezi la kupigwa hizi picha,tufike mahali tue wazalendo na tufanye kazi kwa moyo na utii na si kuwinda mahali pa mshahara mkubwa na namna gani utapata mwanya wa kula rushwa na kufanya biashara zako za magendo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom