Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

Hivi hayo majina mboni hayatajwi?..au hakuna?
Mimi naanza na huyu bwana anaitwa Kanali Kimbau.Alikuwa mbunge(CCM-Mafia).Haya wekeni ya wengine basi.
 
Wembe mkali wengine walnaofahamika kwenye public domain kwa sasa ni Idd Azan ambaye amejitahidi kukanusha, the list goes on...
 
masikini kada mpinzani! ameishiwa jamani

huyu hatakiwi kusamehewa kwa sababu analijua analolifanya
 
Nawapongeza sana vijana hawa kwa uamuzi waliochukua na kugundua kwamba vitu wanavyotumia ni sumu inayoua polepole.

Lakini Serikali ahadi zake ziko wapi za kupambana na madawa ya kulevya. Inashangaza Mkuu amekazana na kuhamasisha watu kupima ukimwi lakini amenyamaza kimya kabisa kana kwamba haoni kuhusu watu wanaokifanya kizazi cha Watanzania kuwa mazezeta kwa kuingiza/kuuza madawa bila kificho, tena jambo ambalo serikali ikiamua ni katika mwezi mmoja tu itatokomezwa. Kila kona sasa ni kuhamasisha kupima UKIMWI....

Pamoja na ahadi za Mkuu kwamba orodha anayo ya wote wanaohusika lakini amenyamaza kimya, inatufanya tuamini kabisa usemi usemayo kwamba biashara hiyo ni ya wakubwa kwa hiyo hata Mkuu hawezi kuwagusa maana atakuwa amegusa mboni.

Mkuu watu wanaimani naye kwamba akiamua kutokomeza uchafu huu inawezekana. Okoa kizazi hiki kisiwe cha mazezeta, ni heri hata Ukimwi mtu ukimpata mwisho wake ni kurudi kwenye udongo..lakini madawa ni kuwa na kizazi cha mazezeta!!

Shelutete
 
Jamani wengine hatuna Doc, lakini tuna taarifa toka kwa watu wa karibu kuwa yule mama mchungaji naye yumo.Yeye hauzi ila kazi yake ni kufadhili watu wanaokwenda leta.Rostarm hilo halina ubishi. Na Mzee K.
 
Kama Kuna Mtu navuta Bangi Humu JF ajitaje!! alafu...Muwataje wanao wauzia -Haraka sana...
Nataka Nipate Orodha niifanyie Kazi...
 
Jamani wengine hatuna Doc, lakini tuna taarifa toka kwa watu wa karibu kuwa yule mama mchungaji naye yumo.Yeye hauzi ila kazi yake ni kufadhili watu wanaokwenda leta.Rostarm hilo halina ubishi. Na Mzee K.

Si kuwa wale wanaohisiwa lazima watakuwa wanahusika kwa asilimia 100. Bado siamini kuwa wauza unga wote ni CCM. Hata upinzani wanaweza kuwepo. Muuza unga kifupi si mwanasiasa ila mfanya siasa. Anaweza kuitumia siasa kuendesha mambo yake lakini politically he is bankrupt!

Back to the issue: Just bring the names and give some vivid evidences to accompany your argument!

Natumaini watu wataanza bila hiyana. Kama Zitto mmojawapo sema... Invisible mmojawapo usisite kumtaja... Muhimu kuwa na reasoning inayoashiria uko sahihi.

Karibu
 
Nafikiri anamuongelea yule mama mwenye shule mmoja kubwa ya english media pale Bongo.

duh kumbe watu wanaweza kuwa na ngozi ya kondoo kumbe ndani ni chui...mhm tupeni majina mengine basi hayo..ila angalieni wasije wakawe A.C
 
Udaku daku tu, kama hamna data si mkae kimya kuliko kuleta utumbo humu! Wauza madawa wanaeleweka, wakishatajwa? AC alishawataja, akaambiwa na mumeo pia yumo!

Nini kiliendelea vile?!
 
wakti nilipo post hiyo hoja,machine yangu ilizimika ghafla.nikarudia tena..naendelea kufanya utafiti wa kutosha kwa vijana wa mjini then tutaanza kudondosha majina yao hivi punde,ili sifungi kwa mtu yeyote kuweka majina hapa.FD wataje kama umeshapata baadhi..
 
Si kuwa wale wanaohisiwa lazima watakuwa wanahusika kwa asilimia 100. Bado siamini kuwa wauza unga wote ni CCM. Hata upinzani wanaweza kuwepo. Muuza unga kifupi si mwanasiasa ila mfanya siasa. Anaweza kuitumia siasa kuendesha mambo yake lakini politically he is bankrupt!

It depends on how you define Political Bankruptcy in Tanzania. As to kuwa huamini kama wauza unga wote ni CCM hapo hujakosea, wale wote wasio wa CCM watakuwa wamekamatwa, unajua CCM ndiyo hide out nzuri kwa corrupt officials na wafanyabiashara. wewe kama una dirty games ni kuingia huko tu utakuwa salama. Kama kina Nyari, Massawe wanakichangia CCM ili kufinika machafu yao, and it works. Hii ni kwa sababu hakuna mechanism nzuri ya kusafisha chama. Kama ulivyosikia Serikali imetuhumiwa kwa ufisadi, inapeleka bendi ya TOT kujibu tuhuma za rushwa, lakini haishughulikii tatizo lenyewe.
 
Nyangumi,mama mchungaji upi tena huyo jamani anayeongelewa?

Unajua wengine hatujawa na ushujaa wa Dr.Slaa wa kutaja jina.Tanzania kuna mama mmoja maarufu na ni mchungaji,amini usiami huyo mama yupo kwenye wahusika wa kusaidia hizo kete kuingia nchini.
 
Unajua wengine hatujawa na ushujaa wa Dr.Slaa wa kutaja jina.Tanzania kuna mama mmoja maarufu na ni mchungaji,amini usiami huyo mama yupo kwenye wahusika wa kusaidia hizo kete kuingia nchini.


How???!!!Tunazo true facts jamani??tusije tukawa na sisi ni watu wa porojo na udaku tuu unaweza kukuta mama wa watu ni so clean..angalau muanze kuziangusha na facts ndo tuanze kuamini kidogo
 
Back
Top Bottom