Majina ya Watoto Wapya (Kanyigo)

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Yafuatayo ni majina ya watoto waliozaliwa Juzi huko Kanyigo Bukoba:

Rweobama
Mutayobama
Barackruigumbiza
Kokubama
Rutobama
Rweimobama
RutashyObama
Rugabaraka
Muchungobama
Rugaimobama
Barakagemalira
Obamuwegasira
Kalokobama
baraka Rutabanzibwa
Rumanyikobama
Mugyabusobama
Ishengobama

Regards,
Its me

Rugarabamu. a.k.a Rugobamu
 
ahahahaha you made my day ahahahaha,,,ahahahahahahahahahahah
If I get a child kileki I will call him Mazobama:D
 
hahahahahaha Nshomile wana vituko hahahaha walianza na majina ya simu...........Barackruigumbiza lol
 
Mengine ni=
Celtel Muganyizi
Vodacom Kyaruzi
Call me later Rutakyamirwa
Message sent Mutayobwa
Simcard Mutalemwa
 
Mugaobama
Rubeobama
Lwegeobama
Lukaobama
Hii yote nikushangilia ushindi wa Obama.
 
Mhh!Kwanza Obama ni Mchaga!Kwasababu Jirani yake kule kenya anae rafiki yake ambae ameolewa na mchaga so obama nae mchaga.Anaitwa Barakaeli Obamaeli.
 
Mhh!Kwanza Obama ni Mchaga!Kwasababu Jirani yake kule kenya anae rafiki yake ambae ameolewa na mchaga so obama nae mchaga.Anaitwa Barakaeli Obamaeli.
Nahisi hata hii topic ni udhalilishaji mkubwa kwa makabila ya wahaya na wachagga... What if we close it immediately guys?
 
Nahisi hata hii topic ni udhalilishaji mkubwa kwa makabila ya wahaya na wachagga... What if we close it immediately guys?

aaah wapi mkuu usiifunge.
Mbona hata ile topic ya mabeki 3 wengine inatuuma sana lakini tumepiga moyo konde wengine waenjoy.
 
Nahisi hata hii topic ni udhalilishaji mkubwa kwa makabila ya wahaya na wachagga... What if we close it immediately guys?
Lolz Inv umeanza kuwa kama Pundit na Kuhani maana wao hata kwenye jokes wanaweka siasa na vingereza vyao vigumu.
 
Nahisi hata hii topic ni udhalilishaji mkubwa kwa makabila ya wahaya na wachagga... What if we close it immediately guys?

Relax dude..No need..

Inawezekana X-Pathta ni nanihii...mtani wao bana..wacha watu wamwage mchele zaidi

teh teh teh..
 
Lolz Inv umeanza kuwa kama Pundit na Kuhani maana wao hata kwenye jokes wanaweka siasa na vingereza vyao vigumu.

Some people are extra-sensitive and stressed without any reason. .. and sometimes they want to demonstrate their 'abilities' (sijui ndo u-nshomile?)..hapo ndipo kero inapoanza.

X-Pathta mwaga upupu dhaidi..teh teh teh!
 
Back
Top Bottom