Majina ya wapiga kura kwenye vituoni yaingia dosari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya wapiga kura kwenye vituoni yaingia dosari

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by collezione, Oct 27, 2010.

 1. c

  collezione JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamani uku kwetu morogoro, majina yetu hayapo kwenye vituo vya kupiga kura mbaya zaid tumeletewa majina ya ndugu zetu marehemu...na kuna watu wengine majina yao yametokea kwenye kituo zaidi ya kimoja
  tukilalamika kwa wawakilishi wa nec,
  wanasema hawawezi kubadili, tumechelewa. Na wakati majina yamebandikwa jana....je hii ni haki kweli?
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,507
  Trophy Points: 280
  Ripoti mara moja kwa makao makuu ya Chadema hapo ulipo.......na kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo lako..............Usiwajulishe CCM wataona hicho ni kivuno..............
   
 3. c

  collezione JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamani sio morogoro tu, ata iringa, mbeya..yani kote ni balaa tupu.
  Ccm mwaka huu watasababisha vurugu
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hao marehemu mliwaliport nec?kama majina yako yako sehemu 2 piga sehemu moja
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ... Tulijua tu kuwa NEC hii ya wazee ambao hata hiyo Computer kwao ni kikwazo watatufikisha pabaya.
   
 6. doup

  doup JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  vilaza watupu wale wazee
   
Loading...