Majina ya waliopewa siku 90 na CCM kujiuzulu ni hawa hapa

Get lost. This is the blood and soul of CCM.
remove them and you are sure the life of CCM is over!!!
CCM's HEART BEAT is Rostam Aziz
CCM breath through Edward Lowasa
All the others are just the systems of life in CCM.

NAPE hawezi kukuelewa au kukubalia. Mbishi kijana yule!
 
Kuna swali linanisumbua sitaki kuamini kwamba mafisadi wako CCM tu!!!!!!!!! nje ya CCM mbona hawatajwi? Kama mafisadi wenye helikopta kama Philemon Ndesambalo, Freeman Mbowe, Edwin Mtei wote hawa na wengine utajiri wao ni wa kuhojiwa kama ni halali au si halali. Kuwa mfanyabiashara mkubwa na kumiliki utajiri/mali halali ni mambo mawili tofauti kabisa kabisa.

1. PHILEMON NDESAMBULO
2. FREEMAN MBOWE
3. EDWIN MTEI
4. JOHN CHEYO.
 
Orodha hii ni ya chadema sio ya CCM. Tangu imetajwa haiongezeki imekaa kiuonevu kwani haiwezekani kwamba mafisadi hawaongezeki.
 
Kuna swali linanisumbua sitaki kuamini kwamba mafisadi wako CCM tu!!!!!!!!! nje ya CCM mbona hawatajwi? Kama mafisadi wenye helikopta kama Philemon Ndesambalo, Freeman Mbowe, Edwin Mtei wote hawa na wengine utajiri wao ni wa kuhojiwa kama ni halali au si halali. Kuwa mfanyabiashara mkubwa na kumiliki utajiri/mali halali ni mambo mawili tofauti kabisa kabisa.

1. PHILEMON NDESAMBULO
2. FREEMAN MBOWE
3. EDWIN MTEI
4. JOHN CHEYO.

Hii orodha naikubali kama tutaacha ushabiki wa vyama vya siasa na kutanguliza utaifa mbele
 
Mkuu Warioba ameingiaje kwenye ufisadi? Mimi huwa naamini kwamba Warioba ni msafi.
.

Acha kutaja tu jina lakini kutaja mali chache wanazomiliki kukazia tuhuma hizo hakuna. Ndio maana maswali kama haya yanajitokeza.
 
Butiku ni malaika ukimlinganisha na hao majambazi.............wa kisiasa na kiuchumi..........

Butiku ni binadamu hata ingekuwa kweli jambo la msingi ni tuhuma zinazokosa vielelezo na viambatisho vyake. Hii ndio sababu tuhuma hizi zinapungua nguvu kila mwaka na mwishowe hazitakuwepo. Alichofanya Dr Slaa ni kutaja majina tu na kuondoka zake wengine tukadaka wimbo huo na kuendelea kuimba siku zote za maisha yetu.
 
Marehemu Daudi Balali bado hajaondolewa kwenye orodha ya mafisadi. List imejaa, ukale na uzamani. Hii kali.
 
mbona hili jambo ni la zamani sana. sijaelewa mantiki ya mtoa hoja. suala hili lipo kwenye tovuti ya chadema karibia zaidi ya mitatu sasa. msiteteremshe hadhi hili jukwaa jamani. Na Tamko sio la magamba hilo .
 
Back
Top Bottom