majina ya waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2012 yanatoka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

majina ya waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2012 yanatoka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rickyrich, Mar 12, 2012.

 1. R

  Rickyrich Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee, watu wamechoka maisha ya kitaa, majina ya wanaopangiwa hurushwa wapi na lini yanaweza toka maana shule za private wameshaanza kufungua......
   
 2. K

  Kasigi Senior Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa hyo ndo tetesi au swali?? Shabash
   
 3. R

  Rickyrich Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah, wa tz tunashida...
  Sasa ww unaona ni nn alafu unauliza, ww ni m2 mzma bana ucjifanye mtoto, kama nimekosea c uniambie arif.....
   
 4. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Cjui hata wengine wanalaumu nini. Wewe kama unafahamu. Mueleze mwenzio! Kiherehere mungu na shetani wote hawataki.
   
 5. R

  Rickyrich Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Apa ni amani tu wakubwa, tusitoke nje ya topic....
  Kama kuna anaejua yanarushwaga wapi na yanaweza toka lini tuambizane tu.....
   
 6. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Yanatangazwa kwnye facebook,jiunge!
   
 7. N

  Njangula Senior Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwezi wa tatu mwishoni au mwanzoni. Ndo wako selection hivi.
   
 8. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni ufisadi tu unaozuia.
  Kama mnavyojua kuna shule nyingi za binafsi zinamilikiwa na vigogo; walichofanya ni kuchelewesha kutoa selection ili kwanza shule zao zijae. Si unajua kama wewe ni mzazi una mtoto amemaliza kidato cha nne unakuwa huna uhakika atapangwa shule gani, na kadri muda unavyokwenda na shule binafsi kuzidi kujitangaza na kuanza masomo, unafika wakati unasema ngoja nimpeleke private nisije kukuta hakuchaguliwa huko serikalini au kachaguliwa shule isiyo nzuri. Akifika huko ni kulipa kwanza nusu ya karo ya mwaka. Ina maana hata ukikuta kachaguliwa shule nzuri ya serikali utashindwa kumhamisha kwani utakuwa umelipa pesa nyingi tayari, na hata ukimhamisha mwenye shule tayari kaingiza kipato.
  With computerisation selection haiwezi kuchukua zaidi ya wiki 3 even less. Nafasi zilizopo zinajulikana tena kwa comb zake, si unaset formula tu na inakupatia selection! tena kwenye excel tu.
   
 9. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Keep patience please!!!
   
 10. K

  Kasigi Senior Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umeongeleshwa wewe? Hata halina aibu mtu akikosea tusimkosoe au, we nenda facebook ndo typ yako
   
 11. K

  Kasigi Senior Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Zinatoka mwez wa 12 mwishon
   
 12. tumlack

  tumlack JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 681
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mwez wa 3 na utapata kujua ktk moe.go.tz
   
 13. R

  Rickyrich Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa mkubwa ngoja tuvute subira...
   
 14. R

  Rickyrich Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hio ni kweli kamanda, kuna raia tumesoma nao wamepiga 2 wazee wao wameona ku wait selection ni noma bora wawa peleke private....
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280
  mimi nasubiri tu na asipopangiwa
  akasome chuo even certficate.
  ana B(2) C (3) D(1) na F (1)
   
Loading...