Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

Hao watasubiri 2nd round baada ya kutangazwa wale successful loans applicants then wao watapewa fursa ya kuapeal..
 
Msikate tamaa may be kuna tamuko litatoka sitaki niamini ati sahihi yako ndo ikuponze ukose mkopo na kusiwe na second opportunity ya kurekebisha na mambo yawe sawa.
 
Mwaka huu mbona wamechelewa kuyatoa hayo majina ya waliokosea au wa mwaka huu ni wajanja(waliweza kujaza vizuri).
 
bado na mashaka na majina haya c dhani kama ya mwaka huu..coz ktk website yao hawaja weka habari hii.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom