Majina ya walioficha pesa USWISI haya hapa

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Baada ya kuona Zitto anaogopa kuwataja kama mlivyoogopa kuwataja wauza madawa ya kulevya a.k.a UNGA au SEMBE, mi nimeamua kuwataja tu kama noma na iwe noma, kama mbwai mbwai tu, ukimwaga ugali namwaga mboga, kwani kitu gani bana. Siogopi tindikali wala kung'olewa kucha au meno bila ganzi, kwani ntakuwa wa kwanza mie! Potelea pote kujuana isiwe tabu, nataka ustaarabu.

Haya sasa, nitaje nisitaje?
 
Acha uctaje
 
Nimefungua haraka haraka nikijua nakutana na list ya watu kumbe mbwembwe zako tu. Hebu acha hizo bana unajua watu wengine pressure iko karibu sana??
 
Baada ya kuona Zitto anaogopa kuwataja kama mlivyoogopa kuwataja wauza madawa ya kulevya a.k.a UNGA au SEMBE, mi nimeamua kuwataja tu kama noma na iwe noma, kama mbwai mbwai tu, ukimwaga ugali namwaga mboga, kwani kitu gani bana. Siogopi tindikali wala kung'olewa kucha au meno bila ganzi, kwani ntakuwa wa kwanza mie! Potelea pote kujuana isiwe tabu, nataka ustaarabu.

Haya sasa, nitaje nisitaje?

kila mbuzi hula kwaurefu wa kamba yake.
 
nakupa siku saba, usipotaja nataja mimi, na nikitaja mimi jina lako lazima liwe kwenye list
 
Kama unataka jf ifutike ww yaanike tu hapa, uclete utani na hawa jamaa wenye hati miliki ya hii inji.
 
Back
Top Bottom