amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
Baada ya kuona Zitto anaogopa kuwataja kama mlivyoogopa kuwataja wauza madawa ya kulevya a.k.a UNGA au SEMBE, mi nimeamua kuwataja tu kama noma na iwe noma, kama mbwai mbwai tu, ukimwaga ugali namwaga mboga, kwani kitu gani bana. Siogopi tindikali wala kung'olewa kucha au meno bila ganzi, kwani ntakuwa wa kwanza mie! Potelea pote kujuana isiwe tabu, nataka ustaarabu.
Haya sasa, nitaje nisitaje?
Haya sasa, nitaje nisitaje?