Majina ya waliochaguliwa Vyuo vya Afya yashatangazwa?

Hoprful

New Member
Aug 24, 2021
3
0
Eti wameshatangaza waliochaguliwa vyuo vya afya au bado maana walisema wanatangaza 22/8 nao mpka sasa hivi sijasikia kitu.

Naombeni msaada hapo
 
Eti wameshatangaza waliochaguliwa vyuo vya afya au bado maana walisema wanatangaza 22/8 nao mpka sasa hivi sijasikia kitu.

Naombeni msaada hapo
Vyuo vya private vinaendelea kutangaza waliowachagua.... Ila hao NACTE ni kweli walisema tarehe 22 ila hadi leo bado hawajatangaza
 
Nacte selection sio poa 😅 watu wanaliwa vichwa 😥

Screenshot_20210829-132939_1.png
 
Back
Top Bottom