Charles Ignatio
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 133
- 52

Haya jamaa yaani vyuo vimeshafunguliwa bdo wanazungusha tu watu.

Haya jamaa yaani vyuo vimeshafunguliwa bdo wanazungusha tu watu.
wewe nenda www.unafikiria.kwa.masaburi.com maana umerukia hii mada, hujaisoma vizuri.Haya jamaa yaani vyuo vimeshafunguliwa bdo wanazungusha tu watu.
we mzima kweli?1. A comparative study of consumer's perception of "Made in China" products and India in Tanzania.

any one who wanna work with me for conducting a research you are welcome....634447441@qq.com

chuo gan kimefunguliwa?

wewe nenda www.unafikiria.kwa.masaburi.com maana umerukia hii mada, hujaisoma vizuri.

umeingilia mada ucyojua historia yake.

kuna chuo km SAUT kimeshafunguliwa alaf wao wamechelewesha kutoa majina hvyo ina maana wale watakaochaguliwa leo wanahitajika mapema iwezekanavyo, kumbuka m2 hajaweza jiandaa vizur kutokana na kutojua gharama za chuo aendacho. Dats ma point. Na ndo mana nimesema wanawazungusha watu.mia

ucjitetee bwana kwani SAUT si wanafaamu kuwa wengne bado majina yao?

kuna chuo km SAUT kimeshafunguliwa alaf wao wamechelewesha kutoa majina hvyo ina maana wale watakaochaguliwa leo wanahitajika mapema iwezekanavyo, kumbuka m2 hajaweza jiandaa vizur kutokana na kutojua gharama za chuo aendacho. Dats ma point. Na ndo mana nimesema wanawazungusha watu.mia
jamani vipi wale tulio kosa mkopo matumaini ya kufikiliwa yapo