Majina ya Viwanja Gezaulole : Aliyefanikiwa kupata ile list ya mgawo wa viwanja atuwekee hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya Viwanja Gezaulole : Aliyefanikiwa kupata ile list ya mgawo wa viwanja atuwekee hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zogwale, Jul 16, 2012.

 1. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Wakuu ninaomba kama kuna member alifanikiwa ku-save ile orodha ya mgawo wa Viwanja Gezaulole atubandikie hapa. Nimepita website ya Municipal naona wameshaiondoa maana mgawo wenyewe ulikuwa ni wa kujiuliza maswali!!!

  Asanteni sana.
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Angalia katika orodha hii.
   

  Attached Files:

 3. m

  muchetz JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hiyo list ni awamu iliyopita. Majina bado hayajatolewa.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,832
  Likes Received: 1,287
  Trophy Points: 280
  Mbona jina langu silioni naona ya viongozi tuu
   
 5. s

  slufay JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,360
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Majina bado hayajatoka; may be next Monday.
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,909
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Watayatoa tu tuendelee kusubiri inasemekana wamechelewa kidogo kwasababu viongozi wengi wapo Bungeni maana inatakiwa wachague viwanja wavitakavyo baada ya hapo sasa vigawiwe kama vitabaki.
   
 7. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  viongozi kwanza
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  389. KHALFAN KIKWETE ujazo wa chini WATOTO WA VIONGOZI KWANZA
   
 9. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,230
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Aisee mbona hawa jamaa wanatufanyia hivi???
  Hadi tubadili mawazo???
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  583. R. Dau
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  672. Sitti a. mtemvu
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  675.sophia m. Simba
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  701. Victor g mkuchika
   
 14. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,230
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Aisee mbona hawa jamaa wanatufanyia hivi???
  Hadi tubadili mawazo???
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  714.william christopher chiza
  715.william g. Mhando
  2. M. Mwandosya
  3.abbas z. Mtemvu
  31. Aggrey manri
   
 16. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,439
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mh mbona vigogo watupu kuna mwananchi wa kawaida kweli hapa ?
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,989
  Likes Received: 5,149
  Trophy Points: 280
  hui mradi wa kigamboni hauna manufaa....
  Wananchi mnaliwa elfu 30 zenu,viwanja wanapeana wabunge, mawaziri na watoto wa vigogo....

  Upuuzi mtupu....
  Wizi mtupu....
   
 18. d

  dav22 JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  he he he he he he he hii noma ss viongozi wasipojipa viwanja wapewe nani??hii ndo inchi yetu bana kila kitu lazima kwanza familia za viongozi wajigawie zeni masalia ndo yanabaki kwa wanainchi
   
 19. d

  digodigo Senior Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Halafu naomba kuuliza ina maana asilimia kubwa ya majina ya walioomba ni dhehebu aina moja? au macho yangu
  Pili kama kuna mkakati wa kujenga mji mpya nadhani priority wangepewa wakazi wa huko Kigamboni achana na Mheshimiwa no 218.
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Asante sana mkuu. Ila naona watu wanasema hii ni orodha ya awamu ile ya kwanza. Kuna rafiki yangu amewasiliana na mtu wa huko ardhi Temeke na wanasema bado. Ila tu nitashaangaa kama hawa viongozi walipewa vile vya awamu ya kwanza na sasa wapewe tena. Huo nitasema ni uroho na ubinafsi.
   
Loading...