Mwaitako Mwasapumbu (jina la kinyakyusa)
hahahahahaha
Mwaitako Mwasapumbu (jina la kinyakyusa)
Mngekuwa mnatowa na tafsiri basi.
Mngekuwa mnatowa na tafsiri basi.
Kunyaranyara ni Jina kwa wajita, kwa waha mh... Maswa kwa wafipa Ukisema wafwa
Tembo kwa Unguja Makunduchi, (Natumia tafsida ni UKE) na Neno Makunduchi ndio jina la Mji na Kijiji cha Makunduchi ucje ukwambia Mtu wa Makunduchi Tembo la Mamio. Atakumeza kama Chatu anavomeza.
Aisee,maswa=mav*zi kwa kifipa halafu kwa wanyamwanga wa mbozi,uchi=asali.Kunyaranyara ni Jina kwa wajita, kwa waha mh... Maswa kwa wafipa Ukisema wafwa
Kupenda kwa kipogoro ni Kufila!
we hilo mwananyo ni bonge la tusi huku...Je na mwananyo kwa kifipa vp?cc huku mwana ni mtoto nyo ni kufionza.
Mimi sisemi kabisa majina ya Kijapani hapa!
Mwaitako Mwasapumbu (jina la kinyakyusa)