majina ya viongozi na celebrities wetu yakiandikwa kizungu

Tundu lisu-hole lisu,abdala kigoda-abdalla stool,ana kilango-ana kidoor,
 
Bibi Titi Mohamed=?
vita Kawawa= war Kawawa
Mh. Peter Kabisa =?


nb. Nasikia mh Peter Kabisa alikuwa na mtoto anaitwa Anna, so Anna Peter Kabisa (anapita kabisa =?)
 
Nimrod mkono= nimrod Hand. Sokoine= 4Market Harrison Mwakiembe= Hrsn mwa small mango. Steve kanumba= stev small house.
 
Back
Top Bottom