Majina ya Vijiji vya Wilaya ya Masasi ni 'Kiboko yao'

Umesahau Mkalapa na Mwena mkuu hapo ndo home gongo kwa sana.mnazi wa kumwaga halafu yaaleeeee mambo yetu chamaki nchanga
 
Dah nikiwa ndanda tulimtembelea kaka mmoja akatupikia ugali kwa ng'onda. Niliendesha haijawahi tokea.. nilihisi na maini yatatoka. Sintokaa nil ng'onda tena hata niwakute wapi.
 
Mimi sijawahi kufika huko, lakini nasikia kuna kijiji kinaitwa Namtumbo na kingine Nanguruwe ni kweli vipo?
Namtumbo haipo masasi ni mojawapo ya wilaya inayounda mkoa wa songea na Nanguruwe haipo masasi ipo mtwara vijijini ni mojawapo ya tarafa zinazounda wilaya ya mtwara (v).
 
Mbona hamjauliza kuhusu aina ya Vyakula na Vinywaji ambavyo vinapatikana au ni maarufu Masasi? Mfano Chakula kama Matamba, Makondowole,----- Viazi vikuu, Chamaki mchanga nk. Vinyaji kama Nipa, Ulaka, Tembo nk. Ulizeni jameni Bah!

We jamaa umenikumbusha 2009 nilifika huko na nilishangaa kitu kimoja,yaani masasi ni kuzuri kuliko hata Lindi ambao ni mkoa wakati masasi ni Wilaya. Nina jamaa zangu hapo masasi mbovu , nataka kuja lkn nikifikiria kile kipande cha somanga nakosa raha,pia niambie ni njia gani nzuri kupita kwa maana refreshment kati ya Dar au songea ,mi nipo Dom
 
Mwena (ilipo Ndanda na nimesoma hapa) mtaa maarufu hapa ni mkorosho haramu, hapa utapata kila aina ya nyama za pori, chaguo lako, Liputu, Ndoro,

Hapo kwenye mkorosho haramu,umesahau kuweka PANYA.
 
Mimi sijawahi kufika huko, lakini nasikia kuna kijiji kinaitwa Namtumbo na kingine Nanguruwe ni kweli vipo?
vipo mkuu Nakapanya, Nanyani (Nakole), Naswala (Nambawala), Natembo (Nandembo)..........kuna utani fulani ati ukalale na Nakapanya Ukale na Nguruwe..........
 
We jamaa umenikumbusha 2009 nilifika huko na nilishangaa kitu kimoja,yaani masasi ni kuzuri kuliko hata Lindi ambao ni mkoa wakati masasi ni Wilaya. Nina jamaa zangu hapo masasi mbovu , nataka kuja lkn nikifikiria kile kipande cha somanga nakosa raha,pia niambie ni njia gani nzuri kupita kwa maana refreshment kati ya Dar au songea ,mi nipo Dom
Mkuu hakuna njia mzuri........zote ni balaaa kitu hiki ndicho kilichonifanya niache kazi na kurudi kwetu Mara.................
 
Namtumbo haipo masasi ni mojawapo ya wilaya inayounda mkoa wa songea na Nanguruwe haipo masasi ipo mtwara vijijini ni mojawapo ya tarafa zinazounda wilaya ya mtwara (v).

Wilaya ya Newala pia kuna kijiji kinaitwa nanguruwe
 
Back
Top Bottom