Elections 2010 Majina ya vijana kituo cha batist kichangani morogoro hayaonekani hatima yao vipi!

Sulle

Member
Oct 31, 2010
6
0
Vijana wengi walioandikishwa mwaka huu katika kituo cha Batist kata ya Kichangani Morogoro mjini majina yao hayakuonekana na baadhi yao wameambiwa warudu tu ni bahati mbaya! inakuwaje kwa taarifa zaidi ongea na mwanagu 0716697683 amekosa haki yake ya kupiga kura imeniuma sana:A S-baby:
 
kuna namba za simu zimewekwa humu ambazo kama umekosa jina lako unapiga.....fanya hima muda ndio huu unayoyoma...mwisho saa kumi ujue....stukaaa
 
Back
Top Bottom