Majina ya Vigogo Wanaomiliki Akaunti Uswisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya Vigogo Wanaomiliki Akaunti Uswisi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kinyungu, Jun 27, 2012.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Kwa takribani siku tatu tumesikia kuwa kuna Viongozi wa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM wanaomiliki akaunti huko nchini Uswisi. Mambo hayo nakumbuka miaka ya nyuma tulikuwa tukisimuliwa alikuwa akiyafanya Marehemu Mobutu Seseseko wa Zaire. Tunaomba yeyote anayejua majina ya Vigogo hao wanaotuibia kupitia makampuni yaliyowekeza kwenye madini, mafuta na gesi aweke majina yao hapa.
   
 2. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mimi nilidhani ndo unawataja hao vigogo,kumbe na wewe unauliza???
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nimekuja speed iliniyapate majina kumbe blah blah...
   
 4. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  We hiyo ni hatari tupu hata kama wanajulikana kuweka jina hapa ni sawa na kujiwekea kitanzi mwenye pesa siyo mwenzio ana mkono mrefu,mbona kina Slaa hawajawataja kwa majina waachie wanasiasa watajane wenyewe jifunze kwa waziri wa uchukuzi wa sasa ndiyo utaelewa hatari iliyo mbele yako.
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Mleta Uzi umenikata Handasi!
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kaka umeniacha hoi,maana hadi nimempiga kibao mke wangu lengo aniachie nafasi nisome majina,kumbe nawe unauliza ili upate majina hayo
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  sheria za siri za uswisi hazuruhuru kutaja hadharani bila serikali ya nchi husika kuomba kibali cha kutajwa hadharani...kinachotakiwa ni bunge kushinikiza SERIKALI YA MAGAMBA iombe kibali cha kuidhinisha majina yatajwe na kiasi cha kila kigogo na benki anayotunzia
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Lakin si wanajulikana hao.
   
 9. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dah nimechoka ghafla hebu nisubiri sredi yenye majina.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Yaaaaani bunge likae kushinikiza majina yatajwe?!, why spending your usefull resources for non usefull deed?!, mimi nilidhani bunge lishinikize pesa irudi kwenye ac ya taifa kama chenji ya raada ilivyorudishwa!.
   
 11. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Membe amesema atatoa majina
   
 12. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  AAAAAAAAAAAAAAAArgh! nilifikiri kuna majina.
   
 13. K

  KHUBHOJA WA KHUBHOJA New Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama tumeshindwa chukua hatua waliofaidika ununuzi rada sidhani tutakua na utashi sasa.nani wa kumfunga paka kengele?
   
 14. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,299
  Trophy Points: 280
  Hebu weka jina lako unalotumia serikalini, then nichek database ya hii kitu ya uswis nione kama haumo!:A S confused:
   
 15. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Usalama wa Taifa wanalifanyia kazi hili ila nijuavyo hata wao wamepata deal hapo, sidhani kama watatoa hayo majina kwani itawasaidia nini?
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kurudisha pesa kimya kimya haitoshi kwani wezi walioiba hizo pesa ni wale wale walioiba na kwingine..kwa nini tusiwajue ili tufuatilie nyendo zao?? ni rahisi kupambana na tatizo kama utajua chanzo chake
   
 17. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Lowasa kaenda kuchimbua habari, zitajulikana kwani ndiyo zitakazo msafishia njia ya kwenda ikulu. Natabiri Membe kujiuzuru uwaziri wa mambo ya nje soon!! Kama EL hataweka wazi hili kashfa zito, basi tutaendelea kumuona mtu asiye na nia nzuri na hii nchi.
   
 18. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  maana hawa wawili wanapigania mkate,sasa mmoja kapewa nafasi ya kuidhinisha mkate wa mwenzake kazi ipo
   
 19. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  EL kaenda kukaushia habari siyo kufichua wanalindana sana hao unajuaje kama na yeye ni mmojawao?
   
 20. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Bilion 300 si kidogo, zikimwagwa kwenye makanisa na misikiti nani atasema EL hafai, wote wataanza kukenua meno wakisahau watanzania wanamatatizo ya uongozi!! viongozi wasiojali hatma ya nchi, zaidi ni kujipendekeza kwa viongozi wetu kwenye hizi nchi zinazotuibia mali ghafi.
   
Loading...