WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
umekosa cha kuandika wewe ndugu!
aya bwana tushajua umeishi msasani na mikocheni miaka mingi
alafu hii post ni ya fb sio jf kwa great thinkers!
FB na JF tofauti yake hasa ni ipi? Kwangu mimi zote ni social networks.
Inategemea unaowasiliana nao ni watu wa namna gani.JF pia kuna watu wenye mambo ya kitoto
kama ambavyo FB nako kuna watu wanawasiliana kwa mambo ya maana
ikiwemo mitandao ya kibiashara na kuelimishana.