Lundavi
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 327
- 320
Jamani majina ya uhamisho yametoka leo lakini bado yameacha maswali kwani ni machache sana na ni mikoa tisa tu ambayo ni Dar, Tabora, Geita, Mara, Moro, Simiyu, Mbeya, Kigoma na Kilimanjaro. Hata hivyo kuna wengi pamoja na kukamilisha taratibu bado majina hatuyaoni kwenye mikoa hiyo tajwa.
Kwa mwenye ufafanuzi juu ya hili tafadhali. Maana hapa napandwa na kichaa coz barua zangu nimezipeleka kwa katibu tawala mkoa tangu tar. 20 November 2017
Kwa mwenye ufafanuzi juu ya hili tafadhali. Maana hapa napandwa na kichaa coz barua zangu nimezipeleka kwa katibu tawala mkoa tangu tar. 20 November 2017