Majina ya Sensa yachakachuliwa Ofisi ya kata Kimara-majina yabandikwa upya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya Sensa yachakachuliwa Ofisi ya kata Kimara-majina yabandikwa upya.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by cement, Aug 11, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Duh hii ni kali ya mwaka jamani mwanzoni majina yalitoka vizuri wakufanikiwa wakawa wamefanikiwa semina ilikuwa ianze leo,watu wamekwenda kwenye kituo cha semina wakakuta kuna mabadiliko ya semina kwamba inaanza jumatano ss kichekesho majina katani yamebandikwa mengine kabisa na ni zaidi ya 450,hii imekaaje kuna usawa hapa?je wale wa awali mmewatosa???
   
Loading...