Majina ya mawaziri wanaopaswa kujiuzuru yatua mezani kwa JK

Status
Not open for further replies.
chanzo ni tanzania daima,gazeti lenye malengo maalum.

chanzo cha taarifa sio makini kinalalia upande. Ngoja tutafute taarifa za upande wa pili.

Tanzania Daima haiwezi kuingia vikao vya CCM itakuwa sawa na chadema kuingia vikao vya CCM.

Habari hii ni ya kuokota vipande vipande mtaani na kuunganisha.
 
Chanzo cha habari hii sina imani nacho maana ni chombo cha ushabiki tu. (TANZANIA DAIMA)?
 
Ongeza na AG Werema ni janga la taifa,utafikiri jamaa sio mkurya bwana.
 
majina ni 7 na haya majina yalishafika mezani kwa rais mapema sana baada ya njama njama za wizi wa hawa mawaziri kujulikana..lakini kwa kuwa kuna syndicate kubwa katika wizi huo na rais anafaidika na wizi huo..hakuna lolote alilofanya...

hayo majina jana yameleta mgawanyiko mkubwa ..kikubwa niwaambie msitegemee sana katika kuwajibishwa kwa hawa mawaziri
 
HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu. Habari za kuaminika kutoka ndani ya kikao cha wabunge wa CCM kilichofanyika jana mchana mjini hapa zimesema kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameamua kulifikisha suala hilo mikononi mwa Rais Kikwete kwa uamuzi zaidi.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho, kimewataja wabunge wanaotakiwa kujiuzulu kuwa ni pamoja na waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.

CHANZO: TANZANIA DAIMA

Na Pinda awemo pia, nae ni mzigo.
 
Wasiwasi wangu ni kwamba JK na hawa mawaziri wamehusika. Huenda mkulu alikatia aslimia kubwa, hii kesi ya Nyani hakimu awe Tumbili!!!
 
HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu. Habari za kuaminika kutoka ndani ya kikao cha wabunge wa CCM kilichofanyika jana mchana mjini hapa zimesema kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameamua kulifikisha suala hilo mikononi mwa Rais Kikwete kwa uamuzi zaidi.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho, kimewataja wabunge wanaotakiwa kujiuzulu kuwa ni pamoja na waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.

CHANZO: TANZANIA DAIMA

Hapo wanamtaka Muhari Rais!!
 
Kikwete naye ni Mtu wakumtegemea kwenye Kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Watanzania.
 
NAHODHA hapana...mpaka atueleze ni nani aliwacharanga mapanga wabunge HIGHNES KIWIA na SALVATORY MACHEMULI
Si hilo tu mkuu, bali Nahodha yampasa pia atwambie; Kwanza, ni kwann aliishi hotelin kwa kipindi kirefu akifuja kodi zetu na ili hali kulikuwa tayari na nyumba yake ya kuishi kama waziri baada tu ya uteuzi?! Pili, ni akinanani hasa walioko nyuma ya matatizo ya kiafya yanayomsibu Dr. Mwakyembe?! Tatu, kwann hospitali binafsi ya Mahita inawekewa ulinzi wa askali polisi?
 
Huyo arudi kwao Unguja waambatane na Hussein Mwinyi.
 
HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu. Habari za kuaminika kutoka ndani ya kikao cha wabunge wa CCM kilichofanyika jana mchana mjini hapa zimesema kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameamua kulifikisha suala hilo mikononi mwa Rais Kikwete kwa uamuzi zaidi.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho, kimewataja wabunge wanaotakiwa kujiuzulu kuwa ni pamoja na waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.

CHANZO: TANZANIA DAIMA

Watoke wooooteeeee. Serikali ya CCM ni corrupt. Haizai maendeleo ni tasa kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom