Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,605
- 2,743
Kwa kawaida katika jamii zetu tuna utamaduni wa watoto kupatiwa majina ya wanafamilia waliowatangulia, kwa mfano babu, bibi, mjomba, mama kubwa, etc.
Lakini kumekuwa na upande mwingine wa story kutokana na utamaduni huu, namaanisha matokeo baada ya haya majina kupatiwa watoto.
■ Inasemekana mtoto akikuwa kwa asilimia kubwa anafanana mienendo na tabia na yule mtu aliyerithishwa jina lake.
■ Wengine wana pata hadi alama za mwili kama za yule mtu aliyerithishwa jina lake.
■ Wengine wanapitia consequences au tabu kutokana na dhambi alizozifanya mtu yule alie rithishwa naye jina.
Ukifuatilia hii ishu unajikuta unajiuliza swali la kuwa what is the meaning of life, what is the purpose of life? Na ni kwa njia gani maisha ya mtu yanakuwa covered na maisha ya mtu mwingine hadi labda hata kuibadilisha hatma yake kwa saba tu ya jina walilochangiana.
What is the force behind all of this, ni roho ipi, ni asili ipi inayochangia hadi hii ishu kutokea.
Sina ujuzi mkubwa wa hili swala, natumaini michango ya wana JF inaweza kunipatia mwangaza zaidi.