Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?
Just like Mr Brown, Mr Black, Mr Stone, Mr Wood...., huwa wanafikiria nini? Ni utamaduni tu Name is nothing but identity that is all!!
Mr. Black yupo. Na kwa kuongezea tu, kuna hata Mr. Dick!hapo umemzima mbaya lakini kwenye kijani sidhani kama hilo jina lipo..
Mr. Black yupo. Na kwa kuongezea tu, kuna hata Mr. Dick!
Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?[/QUOT
Mwafilombe,Mwakyusa,Mwambatata,Mwamalumbili.Enhe nakuja tena Mlokozi,Byarugaba,Rutateneko,Mushumbushi,kitankula eh najiuma ulima safi sana Wazaramo,Wahaya,Wanyakyusa kwa majina asilia,akina Brown wamepotezea mbaaali
<br /><br />
<br />
hapo umemzima mbaya lakini kwenye kijani sidhani kama hilo jina lipo..
siwema,bahati,msafiri,mema,kazi. Waarabu:maftah,abuu huraira,n.k. wazungu:livingstone,Washington,Victor,Dickson,Godfrey,Mr.Young
Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?
<br />Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?
mwa j...havi j...baat.(bahati)...siwa zed(siwazuri)....Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?