Majina ya kizaramo bana

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?

Just like Mr Brown, Mr Black, Mr Stone, Mr Wood...., huwa wanafikiria nini? Ni utamaduni tu Name is nothing but identity that is all!!

hapo umemzima mbaya lakini kwenye kijani sidhani kama hilo jina lipo..

siwema,bahati,msafiri,mema,kazi. Waarabu:maftah,abuu huraira,n.k. wazungu:livingstone,Washington,Victor,Dickson,Godfrey,Mr.Young

Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?[/QUOT
Mwafilombe,Mwakyusa,Mwambatata,Mwamalumbili.Enhe nakuja tena Mlokozi,Byarugaba,Rutateneko,Mushumbushi,kitankula eh najiuma ulima safi sana Wazaramo,Wahaya,Wanyakyusa kwa majina asilia,akina Brown wamepotezea mbaaali

hapo umemzima mbaya lakini kwenye kijani sidhani kama hilo jina lipo..

although i dont agree with the point ,the name black is present dont u know the singer rebecca black?

hivi juna mtu anaitwa nifanyeni???????

mhhhh

msinune,
zanzibar kuna haji m.atako.....true story

Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?

Mkegani, Sikitu, Siwema etc, haya ni maneno ya kiswahili wanayopewa watoto wa kiswahili kama majina. Kama unaujua utamaduni wa Khanga basi hutashangaa na utamaduni wa majina. Unakuta mtu anampatia jina mtoto wake ili kutuma ujumbe kwa hasimu wake. Watu wa pwani hupenda sana kuoa mke zaidi ya mmoja na matokeo yake wakewenza wakimaliza kuvaliana Khanga za mafumbo wanaingia kwenye majina ya watoto. Ni moja kati ya kazi za fasihi

Wangoni: Komba, nguruwe, Mapunda, Mang'ombe
Wasukuma: Juakali, Saanane, Fungameza, Fungamlango
Wamakonde wao ndio komesha, hawana majina kabisa... unapokuwa rafiki yake ndio atakuuliza wewe unaitwa nani? ukimwambia unaitwa Mwita basi naye atakwambia basi namimi naitwa Mwita!!

Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?

Hakuna hata jina moja la kizaramo hapo. Ni matakwa ya wazazi walioamua kuwapa watoto wao majina ambayo ni maneno ya kawaida kabisa yatumikayo katika lugha ya kiswahili.
Ungeniambia Mwanamkulu, Magati, Kibule, Kibasi, Mziwanda hayo ndo majina ya kizaramo.

Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?
mwa j...havi j...baat.(bahati)...siwa zed(siwazuri)....

muache achakarike banaa, na akipata kazi ya hela zaidi yako na ww unatafuta zaidi yake. akileta ramani ya nyumba muambie unataka ghorofa. namna hiyo mambo yanakua mswano wakati wote!

Back
Top Bottom