Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Nsaji ni kifupisho cha Nsajigwa, maana ake ni mbarikiwa kwa kinyakyusa
Mkuu hyu mleta mada kaandika eti Nsaji ni la Kisukuma maana yake ni mwehu/kichaa ndio maana nimeuliza


Ipi tofauti ya Nsajigwa na Nsajile?
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake

Naomba tuwe pamoja

MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO /MAPENDO
MABULA. mvua huitwa wa kiume
KABULA. huitwa wa kike
NAKUTOGWILE. nakupenda
GWAJIMA. kuzima
BASHITE. mbishi/mtata
SHILEKI. KUACHWA
MAYILA. njia
WAPE. MWEUPE
NSHEKU. Soft handsome/beuty
WALWA. POMBE.
MAGUFURI. makufur.
MBITIYAZA. fisi mwekundu
MBITIYAPI. FISI MWEUS
WABHEJA. ASANTE
NAHENE. HAKUNA SHIDA
NGASA.......
MASANJA.....
NGUSA........
MAKOYE. MATATIZO/SHIDA
WAWIZA. MZURI
GETE GETE. SANA SANA TISHA ILE MBAYA KINOMA NOMA
MISOJI. MICHUZI
LUNANI NA MAKONDA.....
NSAJI. MWEHU/CHIZI
WELELO. DUNIA.
UKUJIWE. UTUKUZWE
WA IMWENE . WA KIPEKEE
YAYA. HAPANA
YAYA GETE . HAPANA KABISA

mengine muongeze naingia darasan mida mida mazee

LONDON BOY/BOY FROM LONDON
Siyo kila uliloandika hapa ni majina yetu.kuna mengine ni usemi tu na siyo majina
 
Olemana mamihayo ga kuwawela banho geke "obise tole batemi ba se yeneye" gate mamihayo ga wiza.

Kongono nolo wale wayomba mamihayo ga nzaha doho, galeko mang'ing'wana gakwiganika ote nzaha.

Ehaha nolo o ntemi wise wayomba "nampandeka mamilemo matale gete o Kiranga, kongono ale na masala gete ng'ingwana mwenuyu, alemana masala matale gete", galeho mamnho gakohaya o Kiranga wapandeka mamilemo genayo kongono Nsukuma.

Tutizo eta mamihayo ga kupandeleja maganiko sagala.
We jamaa unapenda malugha magumu magumu tu, ukiongea English basi lazima MTU akae na kamusi, kisukuma nacho ndio kigumu cha ndani huko kwakina mtemi cheyo na mwanamalundi...
Msalimie Alwatan...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom