Majina ya kijerumani ya miji na maeneo mbalimbali ya Tanzania

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,858
2,348
leo nimeingia wikipedia na kusoma juu ya historia ya koloni la ujerumani ya afrika mashariki (deustche ostafrika) /(german east africa).

katika kusoma huko kilichonifurahisha ni kuona majina ya kijerumani ambayo yalibatizwa kwa maeneo mbalimbali ya nchi yetu, kipindi hicho cha utawala wao

majina hayo mengi ni ya kijerumani hasa, hivi kwamba sipati picha kama sisi wazawa waluguru, wadigo n.k, kama tungemudu kuyakubali majina haya na kuzoea kuyaita,

nafikiri iliandikwa na mungu kuwa majina hayo yatafutika na kugoma kutumika

baadhi ya hayo majina ni haya pichani
Screenshot_20200703-182209.jpg
Screenshot_20200703-182138.jpg
Screenshot_20200703-182147.jpg
Screenshot_20200703-182209.jpg
Screenshot_20200703-182220.jpg
 
Back
Top Bottom